Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Wakuu,
Hili ni bandiko la Pendekezo,
1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO
Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana.
Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu.
Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
"Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya."
"Kwa unyenyekevu...
Habari za wati huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidgo ili tujadili kuhusu afya ya akili na upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya akili(Mental health services)Kwa Tanzania
Nitaanza kwa kufafanua tafsiri ndogo inayohusu afya ya akili-Afya ya akili inahusiana zaidi na hali ya kiakili/ubongo ya...
Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua
Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa
Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni:
1.Mtu wa Amani
2. Mtu mwenye Afya njema
3. Mtu mwenye akiba ya Chakula
Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu.
Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya.
Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
NJOMBE- MAKAMBAKO
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote.
Aidha ongezeko la bajeti...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu.
Matatizo yalianza katika...
Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo.
Phy-C
Chem-C
Bios-C
Bam-D
Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2.
Nawasilisha.
Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy
NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO
Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili?
Hadi wachapishe form moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.