Bernard Membe: Nikitua toka Dubai nitaongea na Wanahabari, Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,874
Huyu bwana anadai kuwa sasa afya yake imeimarika na kesho saa nane mchana atatua JNIA hivyo wanahabari waende.

Kumbe alikuwa anaumwa.

=====

Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press Conference Airport. Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais inayoanzia Tabora wiki hii hadi October 26.

Screenshot_20200915-040650.png
 
Ndio staili ya 2020, ya wapinzani.

Tunawatakia afya njema nzuri kabisa.

Na burudani njema ya kutalii nchini, 28 wanafahamu ni siku ya nani bila ubishi.
 
Kesho hakuna mkutano utafanyika Airport hahaha lazima wazee wa kuzuia watakuwepo tu
 
Wazo fikirishi
Kipindi Mangula kabwia sumu Membe kachero mbobezi alikua nje ya nchi.

Kipindi hichi kachero mbobezi yupo nje Kuna kunguru mmoja kaamua kwenda kujifungia kwao huko.

Na najua leo tarehe 15/09 Hatotoka kabisa chumbani ata chakula hatokula. Haumwamini ata msaidizi wake.

Nahisi anajua yeye ndo target.
 
Membe angejitoa tu ili ahifadhi some sort of heshima kidogo aliyodhani anayo na by the time anarudi CCM basi apokelewe kwa “heshima”

Rais ajaye anaweza bado kumpa moja ya zile nafasi kumi za ubunge
 
“Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press Conference Airport. Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais inayoanzia Tabora wiki hii hadi October 26”. Bernard Membe.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom