afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

    Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa. Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa. Msituchoshe jamani. Maendeleo hayana vyama!
  2. yousaw

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili yahusishwa migogoro ya ndoa

    JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa . Wakizungumza kwa nyakati tofauti, madaktari, wanasaikolojia , viongozi wa dini na taasisi zinazoshughulikia afya, wamesema kudorora...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

    Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
  5. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani-Awe mkazi eneo la jimbo husika, apimwe afya ya akili na asiwe mtoro wa kesi jinai

    Wakuu, Hili ni bandiko la Pendekezo, 1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu umuhimu na athari za upungufu wa madini chuma kwa Watoto

    UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
  7. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi ni kizuri kwa kufanya watoto wa nguruwe wakue na wawe na afya?

    Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu. Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mjadala maalum wa Afya ya Akili-Msongo wa Mawazo, Hasira na Hofu

    Habari za wati huu; Leo nimeona nilete mjadala kidgo ili tujadili kuhusu afya ya akili na upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya akili(Mental health services)Kwa Tanzania Nitaanza kwa kufafanua tafsiri ndogo inayohusu afya ya akili-Afya ya akili inahusiana zaidi na hali ya kiakili/ubongo ya...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ujerumani akutwa na COVID19

    Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
  12. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania AFYA: Jinsi ya kumsaidia mtoto wako aweze kutambaa

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu. Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uzazi: Kulala chali huongeza hatari kwa Wajawazito kuzaa Watoto Njiti

    Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya. Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
  14. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitajenga zahanati kila kijiji, vituo vya afya katika kila kata ili tutoe huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote. Aidha ongezeko la bajeti...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari ya kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali

  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

    Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu. Matatizo yalianza katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  19. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

    Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
  20. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
Back
Top Bottom