afya

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  2. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, Serikali imeshindwa kuiwezesha MSD, msiwarushie mipira Wafawidhi

    Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa. Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

    Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi kutumia mswaki mmoja

    Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu? Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake....!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

    Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji. Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa afya ya demokrasia mteue ndugu Zitto na Mnyika kwenye Ubunge

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu. NB: Mimi sio mfuasi wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya Mapenzi katika kipindi cha ujauzito ina faida kwa Afya ya Mama, Baba na mtoto?

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito Faida zake Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

    Amani iwe nanyi. Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana. Sote...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Namna malezi na utamaduni wa Watanzania unavyoathiri afya ya akili kwa Wanaume

    Nini maana ya afya ya akili? Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
  11. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa dawa zenye thamani ya Tshs 26.7 billioni wabainika kwenye Hospitali za Rufaa za mikoa 28 Tanzania bara

    Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nini hupelekea Rushwa kwenye Sekta ya Afya

    Chuo cha Basel kilifanya utafiti kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda na Rwanda) kuhusu Rushwa kwenye utoaji wa huduma ya afya. Ilibainika tatizo hilo limetokana na kusuasua kwa sekta ya afya katika nchi hizo na kusababisha upatikanaji wa huduma kuwa mgumu. Aidha kupatiwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

    Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake. Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  15. Youth Worker Tanzania

    JamiiForums Tanzania Balozi wa afya ya akili

    Habari wakuu, Vijana wetu hususani walio shule ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya afya ya akili, ikiwemo KHOFU ILIYOPITILIZA. Kwenye maisha khofu ni jambo la kawaida, lakini inapotokea inazidi kiasi mtu anashindwa kufikia ndoto zake anazotarajia, hii inahesabika kama tatizo. Kuna...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  17. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kuuza vyakula vya asili kwa ajili ya kuboresha afya kwa wakazi wa mjini. Ushauri wenu tafadhali

    Naweza kukosea kichwa cha habari mniwie radhi. Nina wazo la kuwarudisha wakazi wa mjini kwenye vyakula vya asili vilivyowapa bibi na babu nguvu na afya njema. Corona imekuwa alarm ya kujitafakari kuhusu kula kwa afya. Watu wengi mjini hula chakula kisafi na si chakula kizuri, kwa tafsiri ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani: Hakuna ushahidi kuwa chanjo ya Corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda

    Shirika la Afya duniani limesema hakuna ushaidi kuwa chanjo ya corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda. Msemaji wa WHO - Dr. Margaret Harris amesema nchi zilizokwisha agiza chanjo ya Astrazeneca ziendelee kuitumia kwa wananchi wake maana chanjo iyo ina ufanisi mkubwa. Kati ya watu...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

    Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa. Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema. Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake. Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
Back
Top Bottom