Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

Ba Liz

Member
Aug 10, 2013
58
8
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae elfu sabini.. kivipi??kwan kituo hakipati gawiwo La fedha kwa ajili ya kundi hilo LA msamaha?? je kituo hakipati dawa kutoka msd??Tafadhali DMO,RMO fatilieni hili mtalibaini..
 
Kiufupi ni rushwa na rushwa haina risit Mimi pia nimelishudia hilo,hivo nawaomba wawe makini make wamezidi wakiendelea watakamatika na pccb mkuu
 
Back
Top Bottom