Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja.
Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020.
Bima ya afya humu nchini NHIF...
Mapendekezo ya cha kufanya Wizara ya Afya
Niweke wazi tu kabla ya yote kuwa mimi kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifanya kazi kama consultant kwenye kampuni za Afya. Mwaka wa uchaguzi nitatumia muda kutoa mawazo yangu kwenye sehemu na wizara tofauti. Nianze na machache kwenye Afya
Mfumo...
Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu;
Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao
Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa
Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali...
Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia.
Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna
Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani? Hivi unajua yule mshabiki wa Yanga alivyoingia uwanjani akadondoka
Kilichoendelea upande wa Simba...
Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625.
Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
December 18, 2019
Prof. Adolf Mkenda anaelezea vigezo vya maendeleo ya binadamu .
NI NGUMU KUJENGA DEMOKRASIA KAMA KUNA TOFAUTI YA KIUCHUMI :prof Aldof Mkenda Kichambua taarifa ya maendeleo.
Kipato:
Prof Aldof Mkenda amesema tofauti ya kipato katika demokrasia inasababisha kupoteza haki ya...
Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture
Na hiki cha chini ni cha 2019
Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu
Nawasilisha.
BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019*
NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali.
Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii?
Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi.
Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia tofauti.Baada ya rafu hizo kaenda hospitali kupima Kama yupo salama au la...
Kila mwaka kuna chama cha diaspora cha US kinaitwa Dicota
DICOTA – Diaspora Council of Tanzanians in America kila mwaka kinafanya tamasha la wataalamu wa Afya kwa lengo kubwa la kusaidia utaalamu na kuongeza ushirikiano Tanzania. Kwa sasa mwenyekiti ni Dr ambaye anafanya kazi zake Yale Medical...
Wakati tunasikia kuwa jiwe ni Rais anayetamaniwa na mataifa ya nje kwa kufanya kazi zilizotukuka. Hebu sikiliza contribution ifuatayo kuhusu standards za elimu na afya Tanzania.
Mataga karibuni kwa hoja. Na ikitokea nikapata jibu lenye mantiki kuanzia saa hiyo nitaacha ku-prove umbumbumbu mlio nao.
Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%.
Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000...
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.
Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".
Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua.
Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema;
"Kwetu...
Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini.
NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani.
1. KIPIMO CHA ULTRASOUND
Ultrasound ni kipimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.