Uchaguzi 2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.

Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?

Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili?

Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?

Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?

Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?

Na je adhabu aliyopewa mgombea wa CCM kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
 
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?

Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
Vice versa is true
 
sisi chadema mgombea wetu alishasema urais ni mgumu, tena akimaliza muda wake hataongeza hata siku moja, ugumu huo pengine alimaanisha kushindana na wagombea bora kama wa ccm ambaye tangu amerejea nchini anatupeleka mpera mpera mpaka pressure na sukari vinapanda.

anyway tunaenda mapumziko ila mtuombee turudi salama.
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?

Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
 
MAGUFULI huyu hapa sasa hivi yuko UNGUJA kampeni watch live TV zote zinaonyesha pia angalia hapa

Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?

Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
transport-car-transport-vehicle-pickup-breakdown-gra050212_low.jpg
women-car-look_under_the_bonnet-service-car_care-maintenance-rdin510_low.jpg
 
Magufuli ni laana kwa Tanzania. Hadi iondoke ndiyo tutapata maendeleo
Haha kweli laana ya Mungu ina baraka imeleta midege, mabarabara, mahospitali, elimu bure, mikopo ya elimu ya juu maradufu, madawa hospitalini maradufu, SGR, Nyerere dam, hospital Kila kata, na mengi mengiiiiii...laana ya Aina yake wananchi zaidi ya asilimia 90 wapo nyuma ya Magu na serikali yake...jomba katafute kazi ya kufanya hata kilimo cha mbogamboga kinafaa
 
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Zinajulikana kweli kujenga uwanja wa ndege kijijini.

Mtoto wa Dada , mlipaji mkuu serikali.

Mpwa ni mkandarasi mkuu chato.

Bado na mbuga kahamishia kwao hadi wale tausi wa mwalimu.

Huku kigoma wananchi wanakunywa maji tope, kule wanasomea kwenye nyasi.

Ama kweli mzalendo.
 
Back
Top Bottom