afya

  1. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake. Wakati hayo yakiendelea...
  2. KiwandaniTz

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira katika Sekta ya Afya nipo Kanda ya Ziwa

    Natafuta kazi idara ya afya nimesoma shahada ya UKUNGA (Bachelor of Science in Midwifery) nipo tayari kufanya kazi Kanda ya Ziwa. Naweza kufanya kufundisha chuo cha afya au kufanya kazi hospitali. Mawasiliano 0714513631 Inbox me
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

    Hakuna kumung'unya maneno hali ya vituo vya kutolea huduma za afya (dispensary, vituo vya afya na hospitali) vya serikali vipo taabani katika kuhudumia wanyonge. Dawa hakuna, mabomba ya sindano hakuna, gloves hakuna etc, kiufupi hali ni mbaya sana. Kiufupi wanaochangia huduma mbovu katika vituo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 uwe somo kwa nchi za Afrika kuboresha Mifumo ya Afya na Miundombinu ya Afya

    Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
  6. Mindi

    JamiiForums Tanzania Sekula mpya ya uchangiaji huduma za Bima ya Afya ni Mwiba kwa wafanyakazi

    Bila shaka kama mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali athari kwa wafanyakazi, hasa wastaafu, serikali ya Rais Magufuli imekuja na "uboreshaji" wauchangiaji huduma za Afya kwa njia ya Bima. Wafanyakazi wa serikali na mashirika yake, kwa mujibu wa sheria, hukatwa michango ya...
  7. East Wind

    JamiiForums Tanzania Kahawa safii kwa afya

    Kahawa ndio
  8. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania Fahamu upimaji wa Virusi vya Corona Maabara

    Na Festo Donald Ngadaya Twitter, Instagram and Facebook @FestoNgadaya Mwezi wa kwanza mwaka huu shirika la afya la dunia (WHO) lilitanganza covid-19 kama janga la kidunia (global pandemic). Toka hapo kumekuwa na miongozo tofauti tofauti ya upimaji wa virusi vya corona maabara. Covid19 ni kifupi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu liangalie hili njama zinazofanywa na Madaktari na watu wa Maabara

    Hosipitali hasa za Wilaya kuna tabia moja ya madaktari kula njama na watu wa maabara kupima kila kipimo ni Tsh. 2000!. Mgonjwa akienda kwa Daktari akimweleza dalili za ugonjwa daktari anamwandikia vipimo zaidi ya vinne! Na ili mgonjwa akapimwe mpaka akalipie kwanza. Hii imekuwa kero kwa...
  10. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel apiga marufuku Ramli chonganishi Tanzania

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu na miongozo ya Serikali. Dkt. Mollel ameyasema hayo leo, wakati wa...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel afanya ziara mpaka wa Namanga na kuzungumza na madereva wa malori

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba. Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Uingereza: Sheria moya zaruhusu timu kubadilisha wachezaji 5 katika mechi ili kulinda afya za wachezaji

    Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi mwishoni mwa msimu, baada ya vilabu kuidhinisha sheria hizi mpya. Katika sheria hizi mpya, timu pia...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kusomea mafunzo ya afya ukiwa JKT?

    Mimi ilikuwa nauliza itokee mtu amemaliza Form Four au Form Six, baadaye akataka kujiunga na JKT, je kule anaweza kusomea mafunzo flani kwa mfano kama udaktari au uhasibu au inakuwa watu wote wanajifunza sawa miaka yote mitatu sasa hivi?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri namna ya kuimarisha afya yangu

    Habarini sana jamvi!! Nilikua naomba ushauri kuhusu afya yangu week kama moja ilo pita nimeugua malaria,typhoid,minyoo,brucella na nilikua nimemaliza dozi ya ghono. Nimetumia Madawa nikaribu nayamaliza ila bado mwili wangu umechoka choka viungo vya mkono na miguu vinachoka usingizi unakua wa...
  15. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bima ya Afya

    Hello habari, Naomba kufahimishwa kuhusu hili. Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa. Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Kama unampenda kweli Dada wa watu uliyempa ujauzito akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia " Maternity bag". Ni kweli Serikali imejitahidi sana kuboresha huduma za afya lakini bado wanajamii hatupaswi kubweteka, tujitahidi kugusa pale tunapoweza.
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Marekani kutengana na WHO kutaathiri Afya ya Dunia

    Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia. "WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020 FULL TEXT: Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Human Resources and Administrative Officer at Afya Plus

    Afya Plus is a local Non-Governmental Organization registered under NGOs Act no.24 of 2002 in Tanzania. Afya Plus is an affiliate of IntraHealth International Inc, a not-for-profit organization headquartered in Chapel Hill, North Carolina, USA, with more than 40 years of experience in over 100...
Back
Top Bottom