Swali kuhusu selection za vyuo vya afya Diploma

Huwa kuna vyuo bado vina nafasi so nacte huwa wanatangaza wale waliokosa nafasi wafanye application tena but huwa wanatoa mda mfupi sana wiki moja.
Lkn kaka angu mda umeisha imebaki siku kama mbili au moja😭nitafanyaje kuvijua hvyo vyuo kama angu nisaidie japo niapply nipate maana nime search website kama zote sijakuta nisaidie ndugu.
 
Lkn kaka angu mda umeisha imebaki siku kama mbili au mojanitafanyaje kuvijua hvyo vyuo kama angu nisaidie japo niapply nipate maana nime search website kama zote sijakuta nisaidie ndugu
Unataka vyuo vya private au government?
 
Lkn kaka angu mda umeisha imebaki siku kama mbili au mojanitafanyaje kuvijua hvyo vyuo kama angu nisaidie japo niapply nipate maana nime search website kama zote sijakuta nisaidie ndugu
Pia bado sijakuelewa vizuri unahitaji kufanya application za vyuo au unataka selection?
 
Vyuo vya serikal huangalia ufaulu wa juu kidogo mfano mdogo kuna vyuo MTU wa mwisho alichaguliwa akiwa na div2 ya 19 tena na masomo hitajka alipata BCC Yaan chem B phys C bios C

Je wewe unaufaulu wa ngapi? Tuanzie hapo ili tukupe ushauri
 
APPLICATION za vyuo nataka nijaribu kurudia kuomba
Kama Ni application kwa vyuo vya government washafungua dirisha la kutuma maomba maybe usubirie wakifungua na piah kuna baadhi ya vyuo vya government ndo vimefungua dirisha la udahili tangu 31st September, kama vile Muhimbili (Muhas),UDOM na mwsho wa kufanya application Ni 25th Sept, piah kwa vyuo vya government deadline Ni 15th Sept so wahi mapema kabla tarehe hizo hazijafika.
 
Vyuo vya serikal huangalia ufaulu wa juu kidogo mfano mdogo kuna vyuo MTU wa mwisho alichaguliwa akiwa na div2 ya 19 tena na masomo hitajka alipata BCC Yaan chem B phys C bios C

Je wewe unaufaulu wa ngapi? Tuanzie hapo ili tukupe ushauri
Nina 2:19 chemistry C Biology C na physics D
 
Kama Ni application kwa vyuo vya government washafungua dirisha la kutuma maomba maybe usubirie wakifungua na piah kuna baadhi ya vyuo vya government ndo vimefungua dirisha la udahili tangu 31st September, kama vile Muhimbili (Muhas),Udom na mwsho wa kufanya application Ni 25th Sept, piah kwa vyuo vya government deadline Ni 15th Sept so wahi mapema kabla tarehe hizo hazijafika.
Kaka angu shida inakuwa deadline ilikuwa 15aug na kuna baadhi ya vyuo ndo vinaendelea na udahili shida ni kwamba hivyo vyuo ni vpi ambavyo vinaendelea na udahili kwa diploma
 
Unataka kozi gani?

Kama CO kwa maksi zako unavigezo ila huwezi kupata Goverment labda ukaanzie private then utahamia Goverment....kozi zinazokufaa kwa maksi zako Nursing,pharmacy pia kuna hizi mbili japo napo ni 50/50 Medical lab na Dentall.Pia kwa sasa sahau kuhusu dirisha la pili maana vyuo karibu vyote vimejaaa n kama wakiruhusu kupata pia ishu,kamauna uwezo focus private then uhame.

Nb;ushauri w bure sasa wewe kaz ubongo ubaki nyumbani

Nina 2:19 chemistry C Biology C na physics D
 
Back
Top Bottom