afya

  1. DESDERIUS KWIZERA MATITI

    JamiiForums Tanzania Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  2. L

    JamiiForums Tanzania kuhusu udahili kozi za afya stashahada na astashada 2021/2022

    jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali?! msaada tafadhali
  3. Gamlemilwe

    JamiiForums Tanzania Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapenda mboga gani ya majani?

    Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku. Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu. Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tango linalofaa kwa kula ni tango lenye rangi ya kijani iliyokolea na lisilo tepeta

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  6. Mjomba ni Mama

    JamiiForums Tanzania Aajira za Wizara ya Afya zilizotangazwa leo

  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, 'Kutumbua' Wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla au baada ya Siku Kuu ya 'Eid' ipi ina Afya ya 'Kisaikolojia' kwa Walengwa?

    Kama nawaona sasa baadhi ya Watu (Walengwa) baada ya Kuusoma tu 'Uzi' huu watakavyoanza Kupiga Simu kwa Waganga wa Kienyeji na hata Kuomba 'appointment' nao haraka. Moshi Mweupe unaanza Kupaa tu sasa.
  11. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ajira Serikali: Kwa tafsiri ya Serikali, ajira ni za walimu na watu wa afya pekee au?

    Habari zenu wadau. Tangu nimeanza kusikia ishu ya kuwepo na tatizo la ajira nchi hii mara zote wanaozungumziwa kukosa ajira inaonekana ni watu wa sekta ya Elimu na afya. Hii dhana miongoni mwa viongozi wa serikali inashangaza Sana, kwamba hata wanapotangaza kwamba wataajiri watu kadhaa basi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  13. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Umofia akiwa kwenye self driven motorcar.

  15. L

    JamiiForums Tanzania Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

    Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
  16. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

    Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali NHIF imekuwa na...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aina za vyakula vitakavyoboresha uwezo wako wa kuona

    Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
  18. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

    Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili. Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka wilayani, bado kuna gharama za malazi na matibabu. Na gharama za matibabu nilivyoziona, mwananchi wa...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ina maana katika hii Serikali ajira ni kwa walimu na watu wa afya tu?

    Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii. Ili tuache utani katika swala la ajira. Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Abarikiwe mpishi ajawe na afya njema na furaha moyoni

Back
Top Bottom