NHIF NI KILIO KINGINE CHA WATUMISHI
Kwanza nianze kwa kuishukuru serikali kwa kuanzisha huduma za bima kwa njia ya bima yaani NHIF ambapo watumishi umma kwa LAZIMA hukatwa bima ya afya bila chaguo la aina ya bima, nashukuru kwa sababu inatusaidia tofauti na kutoa hela zetu mfukoni hata kama...
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage.
Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo.
1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki
Kila mtu ana...
Waziri wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo kwasababu ya uchovu, akisema miezi 15 aliyokuwa ofisini imeonekana kama miaka 15.
Anschober (60) aliyeteuliwa Januari mwaka 2020 na kuongoza Taifa hilo katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona amesema Taifa linahitaji...
Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure .
yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya afya.
Yaani Mbunge,Waziri,DC,Diwani na viongozi wa vijiji wote kazi yao ni kuwasimanga watumishi...
Habari Wana JF,
Leo tutaendelea na mada yetu ya akili bandia upande wa afya.
Tutaangazia nyanja mbalimbali za afya ambapo akili bandia AI hufaunya kazi na nini matazamio yake siku za mbeleni.
Kama tulivyoona awali kwamba AI hutegemea maelfu ya data kukusanywa na kujazwa kwenye kifaa kama vile...
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.
Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa.
Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.
Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.
Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito
Faida zake
Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.
Sote...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Nini maana ya afya ya akili?
Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
Chuo cha Basel kilifanya utafiti kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda na Rwanda) kuhusu Rushwa kwenye utoaji wa huduma ya afya.
Ilibainika tatizo hilo limetokana na kusuasua kwa sekta ya afya katika nchi hizo na kusababisha upatikanaji wa huduma kuwa mgumu.
Aidha kupatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.