afya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

    Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile! Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA yatoa Msaada wa wa Mashuka 431 yenye thamani Mil 5 Vituo vya Afya

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya. “Mashuka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  4. Bess

    JamiiForums Tanzania Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari kuimarisha afya ya ubongo

    Summary: Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari ili kuimarisha afya ya ubongo wa mwanadamu Tafiti iliyofanyika imeonesha watu waliotembelea maeneo haya wana afya nzurr ya ubongo na magonjwa yaambatanayo na msongo wa mawazo/ama uchovu hayawakaribii kabisa Ushauri: Sio tu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya (WHO): Kasi ya usambaaji wa Virusi vya Corona ni kubwa kuliko ya ugawaji Chanjo

    Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni mkubwa. WHO imesema zaidi ya 10,000 wanapoteza maisha kila siku na Jamii hizo zinahitaji Chanjo hivi...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Watumishi wa Sekta ya Afya ni 41% ya mahitaji halisi

    Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi Ametaja baadhi ya sababu za upungufu kuwa ni kustaafu kazi, kufariki dunia na kuongezeka kwa idadi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Shaka: Baadhi ya matamko ya Viongozi wa Upinzani hayana Afya kwa Taifa

    Na Mwandishi Wetu, Kutoka Tanga. -Wataka Rais Samia Asishinikizwe kukutana nao Mwandishi wetu Tanga. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kitaendelea kutoa mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kwa vile ndicho kinachounda na kuongoza serikali, hivyo viongozi wa Chama na serikali katika...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili. Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini? Na vipi Mkude akiamua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Msongozi: Mgao wa dawa hauendani na uhalisia, wananchi wanahangaika

    Mbunge wa Viti Maalum (Ruvuma) Jacqueline Ngonyani Msongozi amesema Dawa zinazoenda Kituo cha Afya cha Msindo sio sawa na uhalisia wa eneo na wananchi bado wanahangaika Amesema mgao wa Dawa ni mdogo na haukidhi mahitaji. Naibu Waziri TAMISEMI, Festo Dugange, amesema Kituo kimekuwa kikipata Dawa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kujifungua Kituo cha Afya ni salama zaidi

    Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani. Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  14. mediaman

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani: 1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Chanjo zingetolewa kwa usawa, wazee na watumishi wote wa afya duniani wangekuwa wameshazipata

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Watumishi wote wa Afya na Wazee ulimwenguni wangekuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ikiwa zingegawanywa kwa usawa Amesema Serikali ambazo zinatoa chanjo kwa watu katika makundi yasiyo hatarishi zinafanya hivyo kwa...
  17. jobtz

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
  19. muzi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya upimaji wa COVID-19 Airport ni kero. Gharama sijui unafanya kazi gani?

    Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya kumaliza pilika pilika nikapima kule nje baada ya kufika Dar eti wanalazimisha kupima tena...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
Back
Top Bottom