afrika

  1. Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  2. L

    China yaisaidia Afrika kupunguza nakisi yake ya kibiashara na China

    Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
  3. Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg. Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
  4. Afrika Kusini wanafanyia kazi Matokeo ya Tume iliyochunguza Ufisadi. Tanzania tunaishia kwenye kuunda Tume tu

    Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21 Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
  5. W

    Paul Barthélemy Biya’a ndie Rais mzee zaidi barani Afrika

    Paul Biya, Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 Jina lake kamili ni Paul Barthélemy Biya’a bi Mvondo. Alizaliwa Februari 13, 1933 katika kijiji cha cha Mvomeka Nchini Cameroon, kwa sasa ana umri wa miaka 90. Amekuwa Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 baada ya Rais Ahmadou Ahidjo kujiuzulu ghafla...
  6. Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023. https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv Rais wa Jamhuri ya...
  7. L

    Engineer Hersi ashinda Uenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika African Clubs Association, hongera kijana

    Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu Afrika na ndio Rais wa kwanza wa African clubs. Ameshinda huku Try again akiwa anaangalia, tuendelee kujiita...
  8. L

    China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  9. Nimeumia sana baada ya kumuona huyu kiongozi katika hali hii!

  10. S

    Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

    Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote. Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
  11. C

    Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

    Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
  12. J

    Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
  13. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  14. Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

    Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
  15. Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki Wanakutana Arusha Katika Mkutano Unaojadili Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Chakula

    Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula. -- Rais Samia azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  16. Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  17. Kwanini Watumishi wa Umma wanaendelea kutumika kwenye Uchaguzi licha ya Mahakama ya Afrika kuitaka Tanzania kubadili kifungu hicho?

    Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi. Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume itaendelea kutumia aukuazima watumishi wa umma kuwa wasimamizi wa uchaguzi, kwa lugha nyingine...
  18. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  19. L

    China yaunga mkono mchakato wa maendeleo ya viwanda barani Afrika

    Tarehe 20 Novemba ni Siku ya Maendeleo ya Viwanda Barani Afrika. Ikiwa ni sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati yake na Afrika, China imewajibika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza viwanda, na kuchukua hatua nyingi zinazolingana na hali halisi ya nchi hizo. Baada ya kuingia katika...
  20. Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. 𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…