afrika

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

    Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake. Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo Uhuru wa nchi za Afrika umepoteza uhalisia wake

    Umofia kwenu Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao. Uhuru wa nchi za Afrika ni Uhuru wa Viongozi kujifanyia watakavyo bila kuwajibika wala kuwajibishwa popote na yeyote...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

    Hello men and women of God! Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu. Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye matatizo ya akili kurejeshwa nchini toka Afrika ya Kusini

    Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Ivory Coast, Nigeria na Afrika Kusini wapewa zawadi nono na serikali zao.

    Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kupeleka wanajeshi 2,900 DRC kupambana na Waasi

    Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanawake walivyoishusha hadhi dhambi ya uzinzi kuwa sawa na dhambi maarufu Afrika ya Uongo

    Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda. Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata ajira rasmi nchini Afrika Kusini?

    SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Asia kupewa tenda nyingi Afrika ni janga lingine

    Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya miaka kadhaa tayari unakuta zimeanza kuharibika. Sheria ya mshindi wa tender lowest bidder itazamwe...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AFCON: Nusu Fainali: Nigeria 1-1 (4-2) Afrika Kusini : Februari 7, 2024

    Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya China na Afrika inazidi kukosa uwiano? Ukweli uko hapa

    Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China, jumla ya biashara kati ya China na Afrika iliongezeka kwa 1.5% mwaka 2023 kuliko mwaka 2022, na kufikia rekodi mpya ya kihistoria ya dola za Marekani bilioni 282.1. China imekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa kibiashara barani...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa roundabout ya East Africa chini Njiro - Kwa Mkono

    Nauza Viwanja kwa bei nafuu . 10 kwa 10 ml 1500000 15 kwa 10 ml 2500000 Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami Ndani kwa ndani Ml laki 1 unapata 10 kwa 10 20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml Heka Inaanza ml 50 nusu heka ml 20 Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5...
  15. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Countries In Africa By Population: 1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632 2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060 3. Egypt 🇪🇬 112,716,598 4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808 5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106 6. South Africa 🇿🇦 60,414,495 7. Kenya 🇰🇪 55,100,586 8. Sudan 🇸🇩 48,109,006 9. Uganda 🇺🇬...
  17. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Majeshi yangu bora ya Afrika 2024

    Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi kufanya na hutumiwa pale mtu asipotaka mambo mengi ila sio sahihi. Hakuna ranking inayoweza kutoa...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

    Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni. Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sales Manager – Explorer at Elewana Afrika (T) Ltd January, 2024

    Role: Sales Manager – Explorer Department: Central Sales & Reservations Office (CSRO) Reporting to: Business Development Manager – Regional DMC’s & Agents (BDM) Key Responsibilities: Sales Strategy Development & Delivery: Expand the reach of Explorer Brand and ensure there is a solid and deep...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
Back
Top Bottom