Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini?
Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
Hinduism na Budhism ni miongoni mwa Dini za kale sana zenye wafuasi wengi katika bara la Asia. Hinduism ndio Dini namba moja ya kale zaidi katika uso wa Dunia ikisemekana kuanzishwa miaka 1500 nyuma kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Hinduism ilianzia kwenye Nchi ya India na Nepal, na sasa ina...
AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo
Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
Salaam Wakuu,
Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.
Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.
Siku zote...
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k.
Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje?
Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
Felix Tshisekedi mgombanishi anataka kuzigonganisha jumuiya ya SADC dhidi ya EAC asema rais Paul Kagame ktk mahojiano exclusive.
M23 ni wa Congole wanapigana huko DR Congo Mashariki kutokana na matatizo ya kina Felix Tshisekedi kiasi kwamba tayari tuna wakimbizi zaidi ya 100,000 waliokimbilia...
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦
Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati.......
Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike......
Mike Tanzania anatokea kinondoni......
Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
afrika
amavubi gfsonwin
auliwa
king'asti asprin
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
msingi
mtanzania
mwanafunzi
rafiki
rafiki yake
shule
shule ya msingi
tanzia
AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES
What is Language?
language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves.
What is Language family?
A language family is...
Wa Afrika wanajulikana duniani kote kwa ulafi wa madaraka pasipo kufanya maendeleo ya kuridhisha katika nchi zao.
Haikubaliki kiongozi kukaa muda mrefu katika uongozi kana kwamba nchi ya baba yenu, Kwamba kwasababu wewe umeingia msituni kupigania nchi ndio huifanye nchi ya baba yako.
Umri...
Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt.
👸🏻 Miss World titles:
🇮🇳 India: 6
🇻🇪 Venezuela: 6
🇯🇲 Jamaica: 4
🇬🇧 UK: 4
🇿🇦 South Africa: 3
🇺🇸 USA: 3
🇮🇸 Iceland: 3
🇸🇪 Sweden: 3
🇨🇿 Czechia: 2
🇵🇱 Poland: 2
🇵🇷 Puerto Rico: 2
🇨🇳 China: 2
🇷🇺 Russia...
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
Adam Selassie ni dereva wa basi dogo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Siku hizi anafurahi sana, kwani amepata gari jipya la umeme. Gari hilo limeagizwa kutoka China, na hadi sasa, kuna madereva wengi kama Adam ambao wamebadilisha msbasi yao yanayotumia petroli kuwa mabasi ya umeme. Kwa maoni yao...
Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita.
Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans."
Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
Wiki hii, kile kinachoitwa "Mkutano wa tatu wa Demokrasia" unaoongozwa na serikali ya Marekani ulifanyika huku kukiwa na utata mwingi. Gazeti la "The Standard" la Kenya lilitoa tahariri yenye kichwa cha "‘Mkutano wa Demokrasia’ waonyesha kiburi cha Marekani,” likisema kwamba Marekani inachukulia...
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.
Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.