Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,289
Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.

Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..

Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA

Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.

Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
 
Naunga mkono hoja
 
Kumbe Pep aliomba msamaha thus why akachukua UEFA
 
Huu ni upumbavu
 
Mizimu inacheza kiungo, inatoka pasi za magoli, inakaba, inafunga. Soka ni sayansi.
 
Back
Top Bottom