Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ.
=======================

Hundreds of South African Christians are expected to gather in significant towns nationwide next Sunday to offer prayers for both South Africa and Israel. They intend to show solidarity with the Jewish state and to disassociate themselves from what they perceive as South Africa's unfounded accusation of genocide against Israel.

"Many of the Christian community are deeply unhappy about the allegations being leveled by our government on Israel," explained Philip Rosenthal, director of ChristianView Network, who will participate in the afternoon of prayer. "We believe in Genesis 12 that this will bring a curse on South Africa unless we distance ourselves from it. So, we will do that, and we have been doing that very strongly."

The February 25 afternoon of prayer is organized by Time2Rise South Africa and will begin at 4 p.m. at various locations throughout the country. Each session will include a prayer for Israel, a declaration against the International Court of Justice case against Israel, and a prayer for Divine intervention in South Africa.
 
Kupinga kwamba Israel syio taifa pekee teule la Mungu, kwahitaji uwe jasiri na mwenye shingo ngumu hata kama mambo yaliyowahi na yanayotokea na yatakayoendelea kutokea ujifanye huyaoni na huyajui

Ni taifa moja dogo, lililokaa katikati ya mataifa yote hasimu na ambayo, kwa umoja wao, hayataki kusikia wala kuona uwepo wa taifa hilo la Kiyahudi mahali lilipo

Hivi, umewahi kujiuliza, kwa akili ya kawaida hata wewe binafsi ukizungukwa na maadui pande zote hapo unapoishi, maamzi yake kama siyo kuuza eneo lako na kisha kuhama, basi utajikuta umewaachia tu hilo eneo ukaitafute hiyo amani ili ukae kwa amani

Kwa Israel hilo haliwatishi, kuna wajinga huwa wanasema, eti Israeli kakingiwa na USA, wakati huo huo wanakuwa wakidai, adui mkuu wa Israel ambaye ni Iran, Ananguvu za kumchapa vizuri huyo Marekani,

Kama ndivyo, kukingiwa kifua kwa Israel na USA, basi hakusaidii kwa sababu hata USA, anachapika kwa mataifa hayo hasimu kwa Israel

Kumbe, ni kule tu kujitia moyo kwamba, wanaweza, huku wakijua kabisa, nguvu na utisho wa jina Israel na Wayahudi, nguvu hiyo haitokani na wenyewe, bali ni yulee..! Mungu wao wa kweli, mwenye kutimiza maagano, ambaye jina lake aitwa! JEHOVAH!

tusiwe wabishi, Mungu huyo ndiye kweli kabisa, asingelikuwa ni kweli, Israel angelifutwa hapo

Licha kwamba, kuna mengi ambayo Israel anamkosea huyo Mungu wao, ila huyo Mungu, yupo pale kulinda ahadi na agano lake tu! Maana yeye si mwanadamu aseme uwongo

Uonapo mambo hayo, nawewe usiufanye moyo wako kuwa mgumu, mgeukie na uanze kuwa mfuasi wa Mungu JEHOVAH nawe uthibitike
 
Kwa Israel hilp haliwatishi, kuna wajinga huwa wanasema, eti Israeli kakingiwa na USA, wakati huo huo wanakuwa wakidai, adui mkuu wa Israel ambaye ni Iran, Ananguvu za kumchapa vizuri huyo Marekani,

Kama ndivyo, kukingiwa kifua kwa Israel na USA, basi hakusaidii kwa sababu hata USA, anachapika

Kumbe, ni kule tu kujitia moyo kwamba, wanaweza, huku wakijua kabisa, nguvu na utisho wa jina Israel na Wayahudi wenyewe, sio wao, bali ni yulee..! Mungu wao wa kweli, mwenye kutimiza maagano, ambaye jina lake aitwa! JEHOVAH!

tusiwe wabishi, Mungu huyo ndiye kweli kabisa, asingelikuwa ni kweli, Israel angelifutwa hapo

Licha kwamba, kuna mengi ambayo Israel anamkosea huyo Mungu wao, ila huyo Mungu, yupo pale kulinda ahadi na agano lake tu! Maana yeye si mwanadamu aseme uwongo

Uonapo mambo hayo, nawewe usiufanye moyo wako kuwa mgumu, mgeukie na uanze kuwa mfuasi wa Mungu JEHOVAH nawe uthibitike
Allah kuwa na Macca na Madina sio shida, YHWH kuwa Na mji wake mmoja tu nongwa.
Israel "the App of YHWH's Eyes.
 
Kupinga kwamba Israel syio taifa pekee teule la Mungu, kwahitaji uwe jasiri na mwenye shingo ngumu hata kama mambo yaliyowahi na yanayotokea na yatakayoendelea kutokea ujifanye huyaoni na huyajui

Ni taifa moja dogo, lililokaa katikati ya mataifa yote hasimu na ambayo, kwa umoja wao, hayataki kusikia wala kuona uwepo wa taifa hilo la Kiyahudi mahali lilipo

Hivi, umewahi kujiuliza, kwa akili ya kawaida hata wewe binafsi ukizungukwa na maadui pande zote hapo unapoishi, maamzi yake kama siyo kuuza eneo lako na kisha kuhama, basi utajikuta umewaachia tu hilo eneo ukaitafute hiyo amani ili ukae kwa amani

Kwa Israel hilo haliwatishi, kuna wajinga huwa wanasema, eti Israeli kakingiwa na USA, wakati huo huo wanakuwa wakidai, adui mkuu wa Israel ambaye ni Iran, Ananguvu za kumchapa vizuri huyo Marekani,

Kama ndivyo, kukingiwa kifua kwa Israel na USA, basi hakusaidii kwa sababu hata USA, anachapika kwa mataifa hayo hasimu kwa Israel

Kumbe, ni kule tu kujitia moyo kwamba, wanaweza, huku wakijua kabisa, nguvu na utisho wa jina Israel na Wayahudi, nguvu hiyo haitokani na wenyewe, bali ni yulee..! Mungu wao wa kweli, mwenye kutimiza maagano, ambaye jina lake aitwa! JEHOVAH!

tusiwe wabishi, Mungu huyo ndiye kweli kabisa, asingelikuwa ni kweli, Israel angelifutwa hapo

Licha kwamba, kuna mengi ambayo Israel anamkosea huyo Mungu wao, ila huyo Mungu, yupo pale kulinda ahadi na agano lake tu! Maana yeye si mwanadamu aseme uwongo

Uonapo mambo hayo, nawewe usiufanye moyo wako kuwa mgumu, mgeukie na uanze kuwa mfuasi wa Mungu JEHOVAH nawe uthibitike
Atakayebisha haya mawazo yako na alaaniwe Huko aliko.... Israel inalindwa na zile ahadi za MUNGU mwenyewe
 
Hao Israel fake siyo wa kwenye biblia kwa sababu wanatukuza ushoga na uuwaji watu wasio na hatia. Mungu hawezi kuwa upande wa mashoga labda shetani/ibilisi.
 
Kama Mungu hailindi Israel waarabu wanaogopa nini kuivamia Israel na kuifuta kwenye thamani ya dunia?
Wewe mlokole usiwe na akili za kushikiwa Bila silaha na misaada ya wamarekani na ulaya ile battle to battle mzayuni hachomoi. Unapigana na mtu umemfunga kamba minyororo na miguu na bado anakuhenyesha wafaaa mchezo nini.
 
Ile migaidi inayojificha nyuma ya akina mama ili iwafanye ngao,ulidhani Israel angechukua muda gani kuchambua taratibu na kuyadedisha magaidi?
 
Kwa nini Marekani na Ulaya wamlinde basi huyu Israel kihivyo kwa nini wasiwalinde wapalestina...❓❓❓

Ina maana ni nguvu ya Jehovah ndio inayotumika kwa Marekani na Ulaya kuwafanya wafanye hicho wanachokifanya kwa Israel.
 
Lakini kuna Irani mkuu mwenye uwezo wa kumpiga Marekani

Au umesahau mkuu
 
Wewe mlokole usiwe na akili za kushikiwa Bila silaha na misaada ya wamarekani na ulaya ile battle to battle mzayuni hachomoi. Unapigana na mtu umemfunga kamba minyororo na miguu na bado anakuhenyesha wafaaa mchezo nini.
Sababu ni nyingi mno mnazifanya na ambazo sasa zinadhibitisha ulinzi wa Mungu kwenye Taifa hilo

Na ukumbuke pia mkuu kwamba, Mungu hutumia watu kupitisha kusudi lake,

Au wewe umewahi kumwona Mungu physically?

Bila shaka ni hapana, ila kupitia watu ambao walikuja kumusaidia wakati wa uhitaji na usijue walitokea wapi, hapo unasema, ulimwona Mungu

Israel halazimishi hao mataifa wampe ulinzi wala silaha
 
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ.
=======================

Hundreds of South African Christians are expected to gather in significant towns nationwide next Sunday to offer prayers for both South Africa and Israel. They intend to show solidarity with the Jewish state and to disassociate themselves from what they perceive as South Africa's unfounded accusation of genocide against Israel.

"Many of the Christian community are deeply unhappy about the allegations being leveled by our government on Israel," explained Philip Rosenthal, director of ChristianView Network, who will participate in the afternoon of prayer. "We believe in Genesis 12 that this will bring a curse on South Africa unless we distance ourselves from it. So, we will do that, and we have been doing that very strongly."

The February 25 afternoon of prayer is organized by Time2Rise South Africa and will begin at 4 p.m. at various locations throughout the country. Each session will include a prayer for Israel, a declaration against the International Court of Justice case against Israel, and a prayer for Divine intervention in South Africa.
unapenda jpost.com mzee,hapo ndipo unapofeli na hivi viuzi vyako
 
Back
Top Bottom