afrika

  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

    Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika italeta uhakika katika dunia inayojaa sintofahamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika kila mwanzoni mwa mwaka mpya. Mwaka 2023...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa pato la ndani unaotazamiwa kutokea kwa nchi za Afrika Mwaka 2024, Tanzania yashika nafsi ya tatu

    On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and what people could buy with their money. Countries like Nigeria, Kenya, and Zambia saw their currencies...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia! Tanzania kinara biashara Jumuia ya afrika mashariki

    Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani. Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mwanza ikitengenezewa mazingira mazuri itakuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa Afrika Mashariki

    Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi. Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania January 1964, maasi ya jeshi na mwaka wa matatizo makubwa Tanganyika na Afrika Mashariki nzima!

    https://youtu.be/NlMzNWph_tE?si=ZEn2izCLvieZG_Th Vijana sasa hivi hawajuia yaliyo tokea miaka 60 iliyopita. Namshukuru Mungu, mimi nilishuhudia hata kama ni kiduchu na nilikuwa mdogo sana. Tukiishi Temeke miaka hiyo, na kambi kuu za jeshi Mgulani zilikuwa karibu sana. Nilikuwa na miaka saba...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Marafiki Wawili, Madikteta Wakubwa wa Afrika

    Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo. Pichani anaonekana...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki Afariki Dunia

    Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

    Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa uagizaji mafuta, Uganda yaifikisha Kenya Korti ya Afrika Mashariki

    02 January 2024 MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya Uganda yafikisha mzozo huo Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Uganda inadai bei ya mafuta katika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

    Ukweli mchungu! Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zambia ndiyo nchi salama zaidi Afrika?

    Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

    Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu. Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaishitaki Israel

    Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya (ICJ) iliyopo The Hague Nchini Uholanzi dhidi ya Israel kwa kile ilichokitaja kuwa ni vitendo vya “mauaji ya kimbari” katika ukanda wa Gaza. Kesi hiyo katika ICJ inahusiana na madai ya ukiukaji wa Israel wa jukumu lake...
Back
Top Bottom