BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake.

Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna mkanganyiko mkubwa sana na kuendelea kupapiga mabomu hakusaidii kitu.

Hao M23 ni Watutsi wazawa wa nchi hiyo, wamejaa mkoa mzima, haiwezekani kuwaua wote hata ukipiga mabomu kutwa yote, na Kagame amepata fursa ya kuwaingia, anawatumia kujipigia hela za madini.

Inapaswa itafutwe namna ya kuwafanya waungane na wananchi wengine wa DRC na kumuacha Kagame kwake huko.

==============

South African troops in the Democratic Republic of Congo have suffered their first fatalities since their recent deployment to quell a rebellion.

Two soldiers were killed and three were injured after a mortar bomb landed in their base on Wednesday.

The attack has led to South African opposition politicians calling for the withdrawal of troops from DR Congo.

The troops are part of a regional force helping DR Congo's military as it confronts a series of armed groups.
The most prominent group is the M23, which has taken up positions on the major routes leading into Goma, the main city in the east of DR Congo.

Th M23's advance has resulted in tens of thousands being forced from their homes - adding to the nearly seven million who have fled because of multiple conflicts in the east.

But the South African army has not linked Wednesday's attack to the M23. In a statement, it says the "details of this incident are still sketchy".

South Africa began deploying troops to eastern DR Congo in December under the banner of the 16-member regional bloc, the Southern African Development Community (SADC).

They are taking over from the Kenyan-led East African Force (EAF), which left in December - about a year after it was welcomed by President Félix Tshisekedi.

He was re-elected in December for a second term in office - and one of his key campaign promises was to tackle the insecurity that has wracked the east of the country for three decades.

BBC
 
Ndio maana China wanakataa vyama vingi , muda mwingine wapinzan hutafuta kiki tu, inabid waafrika tupige vita uasi na ugaidi au migogoro yote afrika ili tuweze kuungana vzr, huez nambia Zambia ataacha kushirikiana na nchi za Ulaya ambazo atapata fursa zote halaf aje ashirikiane na Drc iliyopo kwenye vita, hapo utaifanya ardhi yako iwe kimbilio la wakimbizi, sasa kuepuka hili lzm Waafrika tupige vita migogoro yote mpk amani ipatikane afrika kote kisha tuungane.
 
Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake.

Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna mkanganyiko mkubwa sana na kuendelea kupapiga mabomu hakusaidii kitu.

Hao M23 ni Watutsi wazawa wa nchi hiyo, wamejaa mkoa mzima, haiwezekani kuwaua wote hata ukipiga mabomu kutwa yote, na Kagame amepata fursa ya kuwaingia, anawatumia kujipigia hela za madini.

Inapaswa itafutwe namna ya kuwafanya waungane na wananchi wengine wa DRC na kumuacha Kagame kwake huko.

==============

South African troops in the Democratic Republic of Congo have suffered their first fatalities since their recent deployment to quell a rebellion.

Two soldiers were killed and three were injured after a mortar bomb landed in their base on Wednesday.

The attack has led to South African opposition politicians calling for the withdrawal of troops from DR Congo.

The troops are part of a regional force helping DR Congo's military as it confronts a series of armed groups.
The most prominent group is the M23, which has taken up positions on the major routes leading into Goma, the main city in the east of DR Congo.

Th M23's advance has resulted in tens of thousands being forced from their homes - adding to the nearly seven million who have fled because of multiple conflicts in the east.

But the South African army has not linked Wednesday's attack to the M23. In a statement, it says the "details of this incident are still sketchy".

South Africa began deploying troops to eastern DR Congo in December under the banner of the 16-member regional bloc, the Southern African Development Community (SADC).

They are taking over from the Kenyan-led East African Force (EAF), which left in December - about a year after it was welcomed by President Félix Tshisekedi.

He was re-elected in December for a second term in office - and one of his key campaign promises was to tackle the insecurity that has wracked the east of the country for three decades.

BBC
Hapo Congo ni kichapo tu hakuna kuongea na m23. Hao ni wanajesh kutoka Rwanda. Kwanini watusi waliotokea Burundi hawana shida mzee. Hapo ni kichapo tu. Na Kagame tunamlia timing.
 
Nia ya nchi za SADC ilikuwa ni njema ya kwenda kutuliza vita kule!
Lakini changamoto ni pale ambapo nchi zinaenda kupigana na vibaraka wanaolinda maslahi ya Marekani na nchi za Magharibi!
 
Back
Top Bottom