Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,187
Hello men and women of God!

Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu.

Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila siku nikihitaji nyumba yangu takuambia.

Mtu akisema hiki ni kitu changu maana yake pia anakifahamu vyema na anajua kukitumia.

Waafrika hawajui kutumia rasilimali zilizopo Afrika, hii maana yake ni kwamba rasilimali hizi haziwahusu ni za mzungu.
 
Waafrika hawajui kutumia rasilimali zilizopo Afrika, hii maana yake ni kwamba rasilimali hizi si za Mwafrika.
CC:
CCM
 
Labda sababu tuna vingi ndio maana hatujali?
Kuna nchi zina rasilimali ya aina moja lakini maendeleo yao hatuwezi yafika hata miaka 100 ijayo.
 
Hello men and women of God!

Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu.

Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila siku nikihitaji nyumba yangu takuambia.

Mtu akisema hiki ni kitu changu maana yake pia anakifahamu vyema na anajua kukitumia.

Waafrika hawajui kutumia rasilimali zilizopo Afrika, hii maana yake ni kwamba rasilimali hizi haziwahusu ni za mzungu.
Waafrika kipaumbele chetu ni kushinda uchaguzi, nothing else. pumbavu zetu
 
Back
Top Bottom