afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TANZIA Shekhe Basaleh Afariki Dunia. Aliitetea vyema imani akiwa mwanzuoni

    Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani. Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani...
  2. Clayton Paul

    TANZIA Kevin Mitnick afariki dunia

    RIP Kevin Mitnick Mdukuzi aliyegeuzwa kuwa mshauri wa usalama #KevinMitnick amefariki saa 17 zilizopita akiwa na umri wa miaka 59. Alikuwa na saratani ya kongosho. Kifo cha Mitnick kilithibitishwa na Kathy Wattman, msemaji wa KnowBe4, kampuni ya mafunzo ya uhamasishaji kuhusu usalama ambayo...
  3. benzemah

    Aliyepigana Vita vya Kagera, Afariki Dunia kwa kung'atwa na nyuki

    Dodoma. Shujaa wa vita vya Kagera, Abinael Chikataa (71) amefariki dunia kwa kung'atwa na nyuki akiwa katika sherehe ya kuogesha wajukuu wake waliokuwa wamefanyiwa tohara. Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu katika Mtaa wa Kikuyu Kusini, jijini hapa na nyuki hao walikuwa kwenye mti, lakini...
  4. Replica

    Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  5. M

    TANZIA Mchezaji wa zamani wa Barcelona na Inter Milan, Luis Suarez Miramontes afariki Dunia

    Kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona na Inter Milan Luis Suarez, mwanasoka pekee wa kiume aliyezaliwa nchini Uhispania kushinda Ballon D'Or, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 siku ya Jumapili. Kwa jina la utani "Msanifu" Mhispania huyo alishinda tuzo hiyo ya kifahari mwaka wa 1960 na...
  6. Suley2019

    Mfanyabiashara Aponye afariki kwa ajali ya gari

    Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling National Resistance Movement (NRM) chairperson for Rukiga District who's popularly known as Aponye, died...
  7. BARD AI

    Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  8. Victoire

    TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

    Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011...
  9. Inside10

    Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  10. Palestine Will be free

    TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

    Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Mwakilishi Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki leo hii wakati alipokuwa akipatiwa matibabu, Allah amrehemu ndugu yetu huyu, na amuingize katika pepo. Itakumbukwa May 09,2023 Rais wa Zanzibar na...
  11. Dr Restart

    Amkamata mkewe akichepuka, aponyokwa. Mtoto asiye wake afariki

    Guten Abend. Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam...
  12. mrangi

    TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017. Enzi za uhai wake...
  13. Twilumba

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  14. chiembe

    Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
  15. B

    Bondia Mtanzania afariki baada ya kupigwa

    Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu. Bondia huyo Aprili 24, 2023 alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, kufuatia mfadhaiko alioupata na kuanguka...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

    Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma. Basi...
  17. sajo

    TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
  18. B

    Kijana afariki dunia mgodini Mara

    MARA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Masasa Tungulilo, amefariki dunia kwa kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mgodi mdogo wa dhahabu wa Nyarufu uliopo Halmashauri ya Musoma mkoani Mara wakati akijaribu kuingia katika mduara huo. Mashuhuda wa tukio hilo ambao ni wachimbaji wadogo katika...
  19. S

    TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  20. LICHADI

    TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
Back
Top Bottom