afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Mtu mmoja afariki baada ya kuigonga Treni

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

    Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki muda mfupi uliyopita baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan. Machi, 2012, alichaguliwa kuwa mmoja ya wajumbe watano waliounda Bodi ya Wakurugenzi ya...
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

    Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo. Anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills, Zan fast ferries , majipoa Nk. Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93. Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Black Rob naye afariki dunia

    Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh. Amefariki dunia baada ya kupita siku 10 tangu mkali mwingine wa hizo kazi DMX kufariki. RIP
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

    Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
  10. Mwandwanga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Watanzania kuomboleza kifo hicho huku akituma salamu za pole kwa wafiwa wote...
Back
Top Bottom