TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
180
703
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea sikukuu ya Pasaka.

Andrea aliyekuwa anacheza nafasi ya kiungo alifariki dunia njiani wakati anakimbizwa hospitali kupatiwa matibabu. Afisa habari Chama cha Soka mkoa wa Songwe (Sorefa), Charles Mwamlima amethibitisha taarifa hiyo huku ikielezwa taratibu za kusafirishwa mwili wa marehemu kuelekea Geita zinafanyika.

6236DE9C-BC3F-43D9-BB7C-7FC304F36A55.jpeg
 
Screenshot_20230410-233719.jpg
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira.

Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea Sikukuu ya Pasaka.

Andrea aliyekuwa anacheza nafasi ya kiungo alifariki dunia njiani wakati anakimbizwa hospitali kupatiwa matibabu.

Ofisa Habari Chama cha Soka Mkoa wa Songwe (SOREFA), Charles Mwamlima, amethibitisha taarifa hiyo huku ikielezwa taratibu za kusafirishwa mwili wa marehemu kuelekea Geita zinafanyika.

CHANZO: MWANASPOTI
 
Back
Top Bottom