afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

    Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri. Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

    Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024) -- Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam Dkt. Buberwa amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nkenge...
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Kijana wa miaka 16 afariki baada ya kushambuliwa na kundi la wahamiaji 15

    Filipp kijana wa miaka 16 raia wa Ujerumani alifariki kutokana na majeraha baada ya kushambuliwa na kundi na Waarabu wahamiaji. https://twitter.com/RadioGenoa/status/1756794417304780992?t=2PGGgHlh8PQBdbKjhjC61g&s=19 =============== In a devastating incident that has sent shockwaves...
  4. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Kelvin Kiptum afariki dunia

    Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari. R.I.P World marathon record holder and London Marathon winner Kelvin Kiptum and his coach have died in a car crash, Kenya's former prime minister has said...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani. Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa na Wanachama wa Yanga SC kama moja ya viongozi majabali na kuacha kiasi cha Sh. Mil 200 katika...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sebastián Piñera: Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta

    Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Namibia, Hage Geingob afariki Dunia

    Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek. Taarifa ya Makamu wa Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba imeeleza kuwa msiba huo umetokea usiku wa kuamkia leo Februari 4, 2024. Geingob...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Carl Weathers afariki Dunia

    Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji. Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator. Taarifa kutoka kwa familia ina sema ni hali ya kawaida na si tatizo jingine. Rest well legend!
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

    Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪. Kissendi aliugua muda mfupi kabla ya kufariki kwake. Mipango ya mazishi inaendelea. Bado wana familia hawajaweka wazi ni...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

    Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti. Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki Afariki Dunia

    Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

    Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi. === Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  18. Chinga One

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

    Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi. Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35. Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Wanajumuia, Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne tarehe 5 December 2023, muda wa saa 2:30 usiku saa za Marekani (Central Eastern Time) Chicago. Habari...
Back
Top Bottom