afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. King Kong III

    Rapper Trugoy wa De La Soul Afariki dunia akiwa na umri wa Miaka 54

    Umuofia Kwenu wana JF, Mwana hiphop David Jude Jolicoeur alias Trugoy ambaye alikuwa member wa kundi la Hip hop De La Soul amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Kundi la De la soul ambalo liliundwa mwaka 1988 lilikuwa linaundwa na members watatu wakiwemo posdnuos na maseo.
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
  3. BARD AI

    Afariki dunia wakati akiombewa Kanisani

    Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life lililopo Makerere. Kwa mujibu wa Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Kampala, Luke Owoyesigyire amesema...
  4. Chachu Ombara

    TANZIA Msanii Albino Fulani afariki dunia nchini Marekani

    Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter wa MwanaFa. Pia soma > Mkasi - SO2E09 With Babu Sikare (Albino Fulani) -- Jina lake ni Babu Sikare...
  5. JanguKamaJangu

    TANZIA Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf afariki akiwa Dubai, mwili wake kurejeshwa nyumbani

    Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa...
  6. itakiamo

    Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

    Mhitimu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganya aisee
  7. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  8. Poppy Hatonn

    TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

    Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita. Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away. Mwili wake ukasafirishwa na ambulance...
  9. B

    Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  10. BARD AI

    TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  11. Chipukizi

    Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

    Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
  12. BARD AI

    Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  13. waziri2020

    Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa. Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
  14. BARD AI

    Arusha: Afariki dunia akidaiwa kuchapwa viboko 280

    Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi. Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
  15. DR SANTOS

    Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

    Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa. Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana. Tumeonana December mwishoni tulipoenda...
  16. Carlos The Jackal

    TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens. Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
  17. BARD AI

    Dar: Mchungaji wa Nigeria anayedaiwa kukutwa na Heroin afariki gerezani

    Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
  18. T

    TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

    Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
  19. BARD AI

    TANZIA Mjukuu wa Bob Marley 'Jo Mersa' afariki dunia akiwa na miaka 31

    Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti. Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
  20. NetMaster

    TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

    Elimu: >> source pdf page 90 << Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and Strategies - Chuo cha taifa cha ulinzi - NDC. Kazi Tarehe 20 Januari 2014, Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
Back
Top Bottom