Search results

  1. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  2. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  3. Dr. Mwigulu Nchemba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Mwigulu Nchemba(Kushoto) akizungumza na Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma 10/15/2014(Maktaba) Mh. Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM, hana record ya uhalifu. Kitendo cha mtu...
  4. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    WanaJF, Nimeamua (kama member wa JF) kuandika kwa masikitiko makubwa sana kufuatia uzi wa technically: Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane? Vijana wenzangu, tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuaondika mambo makubwa yasiyo na utani bila kujiridhisha na...
  5. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kauli ya Waziri Mwigulu: Wachina "kuomba uraia"

    Nimeipitia thread hii; ======== Wakuu leo nikiwa kwenye Ofisi za DHL kufuatilia mzigo wangu, waliingia Wachina Kuja kuchukua Mzigo wao ambao umetumwa kutoka Huko kwao, na inaonekana hawana adress ya makazi so waliagiza kupitia ofisi ya DHL, sasa wakati anasaini ili wachukue Mzigo waliombwa...
  6. Dr. Mwigulu Nchemba

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba...
  7. Dr. Mwigulu Nchemba

    Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    Ndugu zangu, uongo wa aina hii tena unapotolewa hadharani ni aibu kwa Taifa. Kwanza mimi nimeanzia mizunguko Pemba na Unguja na nimekwenda kwa ndege na niliondoka kwa ndege Dodoma. Wewe unasema natumia gari la Serikali, yaani uvushe gari la serikali mpaka Pemba na Unguja? Pili vijana wote...
  8. Dr. Mwigulu Nchemba

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Nitazungumza na Watanzania kutoka Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Mazungumzo yangu nanyi yatajikita kuomba ridhaa ndani ya Chama ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukiwa tunaianza safari ya Kuelekea Miaka 50 tena ya Taifa letu, Naomba usipitwe na Mazungumzo yangu...
  9. Dr. Mwigulu Nchemba

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    IMENISIKITISHA, Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa, alichokitumikia kwa Jasho na mali, alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19. Zitto amekuwa/anaendelea kuwa-chachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu. Uwezo wa...
  10. Dr. Mwigulu Nchemba

    Mwigulu Amkingia kifua mkurugenzi fisadi- (Majibu)

    Ndg wana JF, Salaam. Naandika kujibu uzushi wenye malengo ya kuchafuana kisiasa na usiozingatia maadili ya uongozi kwenye uzi wenye kichwa cha habari hapo juu. Kwanza maelezo yanasema nimemtuma RC Kone akazime maazimio ya madiwani yenye lengo la kumwondoa DED. Hii sio kweli, madiwani katika...
  11. Dr. Mwigulu Nchemba

    YAH: Taarifa za Uzushi/Uongo kuhusu kupotea kwa Helkopta nikiwa Ziara Mkoa wa Tanga (17.01.2015)

    Wana-JF, Kwanza napenda kuwatakia heri ya Mwaka Mpya "MWAKA WA KAZI" Pili, Napenda kukanusha kwa kile kinachoenezwa kuwa "Mwigulu apotea angani kwa Masaa Sita" Hii ni habari ya Uongo, Uzushi ambayo ama kwa Maksudi au kwa kuwa na uelewa mdogo wameamua kuiandika Mitandaoni na kuisambaza kwenye...
  12. Dr. Mwigulu Nchemba

    Anayeona Posho Bunge la Katiba haitoshi, afungashe Virago!

    ‘Anayeona posho haimtoshi afungashe virago' Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.PICHA|MAKTABA Kwa ufupi Hoja ya kutaka nyongeza ya posho iliibuliwa na wajumbe wawili ambao pia ni wabunge wa CCM, Richard Ndasa (Sumve) na Suleiman Nchambi...
  13. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kwa mmomonyoko huu wa Mbowe,nitashangaa sana bunge lijalo nikakuta Mbowe bado ni KUB

    MAADILI NI NGUZO MHIMU YA UONGOZI. Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe. Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake w...a viti maalumu, bali ni kuhusu KUKIUKA KWAKE...
  14. Dr. Mwigulu Nchemba

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ndg wana JF salaam? Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa 1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe. 2)...
  15. Dr. Mwigulu Nchemba

    Umetutoka Mandela,mambo haya matano ni msingi wa siasa zetu vijana

    R.I.P Mzee Nelson Rolihlahla Mandela. Tutakukumbuka kwa Mengi Mazuri. Kama mwanasiasa kijana nayaona mambo matano (5) kati ya mengi (1) Mandela had a VISION and MISSION in his Struggle. Hakuwa na uroho wa madaraka, alipokamilisha aliachia madaraka. KUNA WANASIASA WA KIAFRIKA MALENGO NI...
  16. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kama uenyekiti ndio hivi, wakionja urais watafia Ikulu

    "I SAW THE FUTURE AND IT WORKS" Bora watu wote watoke kwenye chama, Bora watu wote wafe, Bora machafuko yatokee nchi nzima, LAKINI KITI HIKI KISITOKE. Angalia MWENYEKITI WA CCM= ALLY H MWINYI, Wenyeviti kwa upinzani walewale; MWENYEKI CCM (BENJAMINI MKAPA 10years) = kwa vyama vya upinzani...
  17. Dr. Mwigulu Nchemba

    CHADEMA ni madikteta, Zitto sio mkaguzi wa mahesabu ya serikali, mmemvua uongozi!

    Nimejiuliza maswali ambayo watanzania wanapaswa kuyatafakari. 1) ZITTO ALIVITAKA VYAMA VYA SIASA KUKAGULIWA KWA MJIBU WA SHERIA YA NCHI WALA SIO SHERIA YA ZITTO. CHADEMA WAKAMVUA UONGOZI KWA KIGEZO KUWA HAKUWATONYA KUWA KAMATI YAKE ITAFANYA HIVYO ILI WAWEKE MAMBO SAWA. HIVI CHADEMA WANGEKUWA NA...
  18. Dr. Mwigulu Nchemba

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa, 1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu, 2)...
  19. Dr. Mwigulu Nchemba

    Urais 2015, kundi langu ni CCM

    Wana jf Salaam, Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya...
Back
Top Bottom