CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.
Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
Wiki iliyopita inaweza kuwa siku mbaya kwa Jeshi la Polisi Kenya, baada ya ushahidi wa video za usalama (CCTV) katika kesi ya mauaji ya mwalimu na mwanablogu, Albert Ojwang, kuwaumbua polisi waliodaiwa kujaribu kuficha mauaji hayo.
Video hizo zilinasa matukio yote kuanzia Ojwang anafikishwa...
Habari wakuu.
Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita?
Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo.
Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na mwingine anasema unaweza katiwa mita unazotaka then unanunua vichwa
Im confused please help hasa bei kwa...
Nairobi – Kesi ya mauaji ya Albert Omondi Ojwang imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Kibera, huku ushahidi wa kwanza ukitoa picha mpya kuhusu kile kilichotokea ndani ya Central Police Station.
CCTV technician Aloni Okwako aliiambia mahakama kuwa alipofika kituoni mnamo Juni 9, 2025...
Habari za daylight robbery zimezidi kutia hofu wakazi wa Nairobi baada ya CCTV footage kuonyesha wakati mwanaume aliyekuwa amebeba bastola akiingia katika beauty shop huko Ruaka na kumpora simu mwanamke aliyekuwa amekaa nje ya biashara hiyo.
Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akimkaribia...
Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025.
Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake.
Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya.
Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
Hasira na maswali mengi yanaendelea kuibuka baada ya CCTV footage na videos kuonyesha police officers wakidaiwa kufyatua risasi kwa wanafunzi wa Multimedia University wakati wa maandamano ndani ya campus.
Protests hizo zilianza Jumatatu mchana lakini zikageuka kuwa vurugu baada ya armed...
Image Courtesy of Daily Monitor UG
President Yoweri Museveni has ordered three senior officials from the Ministry of Internal Affairs and the Uganda Police Force to proceed on a six-month forced leave over a Shs31 billion CCTV maintenance bribery scandal linked to Uganda’s national...
Hapa karibuni kumekuwa na kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari ya jirani, jambo ambalo bila CCTV kungekuwa na tuhuma za kuteka, uchawi na hata kuletea mtuu kuuwawa au kuungwa.
Lakini wakati tukitafakari hili tukumbeke kwamba hivi karibuni serikali imepiga marufuku CCTV kuelekezwa zaidi...
Dubai ni sehemu ambayo wengi wetu hutamani kwenda kutokana na Hali na hadhi ya kuwa jiji la kifahari Duniani .. majengo Mazuri kama Burj khalifa, , ulinzi mkali hoteli za kifahari kiwanja kizuri cha ndege na mambo mengi yanayofurahisha na kuufariji moyo....
Lakini kwa wakati mmoja jiji la Dubai...
Fresh details have emerged in the death of 22-year-old Consolata Githinji after CCTV footage captured her final movements before she fell from the sixth floor of an apartment building in Kileleshwa, Nairobi.
According to investigators, the young woman arrived at the apartment complex at around...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imebaini kuwepo kwa taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni kuwa kila mwenye kamera za usalama (CCTV) anatakiwa kujisajili na Tume hiyo.
Kupitia ufafanuzi wake, Tume imeeleza kuwa si kweli kwamba kila mtu binafsi mwenye kamera za CCTV anatakiwa...
Habari za muda huu wana-JF,
Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema ili kuepuka faini na mkono wa sheria.
Kwa ufupi, kulingana na sheria ya sasa, ni kosa kisheria...
Nina rafiki ninayefanya naye kazi, sasa kutokana na ubize wa kazi pamoja na mkewe, waliamua kufunga kamera kwenye nyumba yao ili waweze kujua kinachoendelea wanapokuwa nje ya nyumba.
Nyumba yao ni ya vyumba vitatu, ambapo kimoja anatumia msaidizi wa kazi za ndani ambaye pia analala na mtoto wao...
Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea...
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio.
Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.
Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu
Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
Angalia kwenye barabara, kuna kiumbe hakionekani vizuri kinatembea
Isije ikawa wataalam wa ku edit videos na kutumia AI wapo kazini
Kufikia sekunde ya 37, utaona kiumbe kingine kikionekana upande wa pili wa gari nyeusi, kikikimbilia kuelekea kwa mwenzake karibu na gari hilo. Baada ya hapo...
Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza.
Wanataka dunia isijue kilichotokea.
Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha.
Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.