Search results

  1. R

    CWT, toeni Tamko udhalilishaji unaofanywa na viongozi "vihiyo" hadhi ya walimu!!

    Chama cha walimu Tanzania imefika mahali kiamke na kuwa "active" sasa!! Kuna ujinga mwingi sana unafanyika dhidi ya wanachama wake lakin hakuna tamko wala kauli ya kukemea inayotolewa!! Mimi sio mwalimu ila nafikiri kuna tatizo ndani ya CWT. Haiwezekani mwalimu anakatwa sehemu ya mshahara wake...
  2. R

    Serikali funga mgodi huu!! Umeajiri watoto ,leo mmoja kakatwa miguu na katapila!!

    Ramadhani, miaka 14 aliyemaliza darasa la saba mwaka huu shule ya msingi kingodi iliyopo kata ya lembeni siku wilayan mwanga leo mchana mida ya saa tisa amejeruhiwa miguu kiacha kwa kuwa huenda ikakatwa baada ya kusagwa na katapila la mgodi huo!?? Kwa mujibu wa mashuhuda!! Ramadha ( jina la...
  3. R

    Simba Sports Club,kuweni makini kuna Viongozi wa serikali wametengeneza genge la kuwahujumu vilivyo!!??

    Kwanza!!! Mimi sio mpenzi wa mchezo wa soka kabisa!!? Kwa ngazi yoyote!! Sana sana world cup tuu niambiwe matokeo lakini sio kutumia dk 90 kuangalia mpira!!! Mm ni mpenz wa old school music hasa wa dansi wa hapa home na kongo!! Ni ukweli hili nimelipata mahali ambapo kuliko baadhi ya watu ambao...
  4. R

    Kama wewe ni mtumishi chukua hiii!!! Umri kati ya 40s na 60s upo karibu sana aisee

    Wazeee age between 40s to 60s mbona upo karibu sana!?? Au ni uoga wa kustaafu!!! Daaah!!! Hatari!halafu katika age hii kamshahara kaserikali kanazidi utamu aisee
  5. R

    Mheshimiwa Simbachawene amkaaa !!!!Jitathimini kama unatosha!!!

    Direct naingia kwenye mada!! Mh nafasi yako unaiweka rehani!! Kuna hitilafu mahali hasa jeshi LA polisi!!! Kwann mambo yapo kama tunavyoyaona!?? Ni nidhamu kushuka au wapi tatizo!?? Kuna matukio yanashangaza sana huku mitaani!!! Yakupasa kusimamia nidhamu ndani ya idara zako kinyume na hapo kiri...
  6. R

    Tulifanya utaifishaji, tukajuta. Tukaua Mashirika na makampuni, tukajuta. Sasa tunaua Demokrasia, hatutajuta?

    JK Nyerere kwa kinywa chake aliwahi kesema (baada ya kustaafu) kwamba alijutia kutaifisha baadhi ya mambo ikiwamo mashamba ya mkonge Sisal estates!!! Kiukweli ukifika kwenye hayo mashamba mfano Tanga, Mwanga, Same nk utaona kweli kuna kitu au uwekezaji ulifanyika hapo. Ikaja awamu yingine...
  7. R

    Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
  8. R

    Naanza kuelewa kwanini Jeshi la Polisi linachukiwa na baadhi ya watu

    Nilikua najiuliza kwann kuna baadhi ya watu hulipuka kwa shangwe pindi walinzi wetu wa usalama wanapopata shida mbalimbali kama vile kuuwawa na kufa katika ajali nikawa siekewi kwann watanzania tunafurahia (baadhi ) huwa na raha kiasi hicho!Kwa sasa naanza kuona mwanga. Tangu wakati wa mauaji...
  9. R

    Barabara ya Dar - Arusha kuna Hoteli nzuri za kisasa maeneo ya Korogwe

    Nitoe hongera kwa uwekezaji wa hotel /motel zilizopo Korogwe zinazohudumia Wasafiri wa kutoka Dar-Arusha. Kiukweli japo bei ya vyakula ni juu kiasi ila nimeupenda huu uwekezaji, nashauri na maeneo mengine waige uwekezaji huu mzuri.
  10. R

    NMB mobile haina msaada kama umekwama

    Kiukweli huu ni ujinga kabisa!! Sina salio la mtandao ila benk nina pesa sasa nikitaka kuingia NMB mobile ina shindikana huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa!! Sasa nmb mobile hii huduma ina maana gani? Yan aliyeleta huu utaratibu ni mpumbavu sana sana!! Kwann hafikiruu kuna watu tupo...
  11. R

    Kampuni ya uchimbaji za uchimbaji madini ya Winshear kuidai Tanzania tsh Bil 229.3/ . Na indianapolis kuidau Tanzania bil 246.9/

    Kumekucha sasa !!! Wanaojua sheria wanaanza kutuadhibu vilivyo!!! Wanatudai pesa hizo na wameshafungua mashauri katika mahakama za kimataifa. Mashitaka hayo ni kutokana na serikali ya Tanzania kuvunja mikataba july 2017 !!! Kuna kila dalili za makampuni aina hii kufungua mashauri katika...
  12. R

    Marehemu Keneth Kaunda naye alikuwa Royal family?

    Katika soma soma yangu ya vitabu nimeona picha ya Mzee Kaunda Keneth almaarufu KK. Hiyo picha alipigwa 1928 akiwa mtoto huku ametika mavazi decent pamoja na viatu!!! Hakika mh Kaunda alioendeza sana. Ni dhahiri alitoka Royal family kwa mwaka 1928 kuvaa vile haikuwa mchezo aiseee. Pia Jirani...
  13. R

    Wasanii wa bongo fleva anzisheni kampeni watu hasa vijana warudi vijijini kuzalisha mali

    Kikweli sisi tulioishi miji mikubwa kama Dsm na kisha tukasarenda na kurudi vijijini au wilayan mwanzon tuliona ni dhihaka na aibu lakin kadiri muda unavyokwenda mimi situjii kabisa uamuzi niliouchukua!!! Nikitembea miji kama Dsm natamani watu wengi wajaribu kufata nyayo zangu,sina mafanikio...
  14. R

    MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

    Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa! Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month . Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha...
  15. R

    Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

    Nawaza na kuwazua sipati jibu. Ndani ya siku 100. Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje. Hebu ona hii orodha: 1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe 2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu 3) Sabaya yupo jela 4) Mdude kaachiwa 5) Kufundisha...
  16. R

    Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  17. R

    Nama na Herero wameweza sisi vipi?

    Wajerumani hatimaye wamekiti ukatili walioutekeleza 1904 - 1908! Nimeogoppa kabisa kusikia hii yan waliua 80% ya haya makabila yani nihatari it wa pure genocide! Japo fidia walioitoa hatasaidia kitu lakini hata kikubwa wamekiri na kuonesha walikosea kuna wakati niliona documentary kwenye...
  18. R

    TFF rudisheni kombe la Taifa ambapo kila mkoa ulikuwa na timu shiriki

    Nakumbuka wakati tunakua miaka ya 90s kulikua na Taifa Cup ambapo mikoa yote ilishiriki na wachezaji wakubwa pia walishiriki hii iwaweza ufufua. Vipaji na kuonesha uzalendo uliofufuka! Pia mashindano hata yasiishie kwenye soka tuu Bali ile ni michezo mingi mfano netball, basket, riadha, ngumi...
  19. R

    Nini chanzo cha mapinduzi ya mara kwa mara ya mataifa ya Afrika yaliyotawaliwa na Ufaransa?

    Wanabodi ,kama sio Mali ni Chad, kama sio Chad ni Niger, kama sio Niger ni Gambia, kama sio huko ni Burkina Faso, kama sio Burkina Faso ni Ivory Coast nk Tatizo ni Nini!? Je, Poor administration structure (mfumo mbovu aliocha mfaransa) au ni ujasiri na utovu wa nidhamu wa wanajeshi wa mataifa...
  20. R

    Nini kifanyike kupunguza tatizo kubwa la ajira Tanzania?

    Wanabodi nakaaa tafakari nn kifanyike kupunguka kama sio kuondoa kabisa hill tatizo!?? Najaribu kutafakari kwa kina naona wanaopewa dhamana ya kuongoza nchi hawalichukulii kwa uzito unaostahili tatizo hili!!!huwa wanakuja na majibu mepesi mno mno, mfano unakuta kiongozi anasema fanyeni kazi...
Back
Top Bottom