Mheshimiwa Simbachawene amkaaa !!!!Jitathimini kama unatosha!!!

road master

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
2,064
Reaction score
3,021
Direct naingia kwenye mada!! Mh nafasi yako unaiweka rehani!! Kuna hitilafu mahali hasa jeshi LA polisi!!! Kwann mambo yapo kama tunavyoyaona!?? Ni nidhamu kushuka au wapi tatizo!??
Kuna matukio yanashangaza sana huku mitaani!!!
Yakupasa kusimamia nidhamu ndani ya idara zako kinyume na hapo kiri umwchemka!!!
Matukio kama yaliyotokea Huko Malawi Jana askari wa Tanzania kupigwa na gari LA polis Tanzania kuharibiwa ni DOA kubwa sana !!! Ni kielekezo kuna tatizo!!
Juzi tena tumesikia kuna askari huko Tanga wao wana "uraibu" wa kuingia kwa nguvu kumbi za starehe na kukamata makalio ya wadada bila idhini ya wahusika!! Hii ni zaid ya aibu ,haya mambo hata mateja hawafanyi ila askari wanafanye?? Hakika hii ni fedheha!!!
Hivi karibuni askari wameuana wilayan Mwanga!!! Ajabu na kweli!!!
Juzi kati askari magereza( idara unayoiongoza) wamemkamata rais wakamchukua kusiko julikana wakamdhalilisha!!! Kweli ni aibu!!
Ijumaa iliyopita nilipita wilayan mwanga nikakuta malalamiko askari wajulikanao tigo wako na pikipiki na bunduki wao ikifika ijumaa wanavizia waendesha bodaboda na wanaoenda mnada kuwakamata bila 15000/ hawakuachiii kisha wanajimwaga kwenye bila na nyama choma kwenye bar za hapo mjini mgagao!!! Duuuu hatari!!!
Achilia mbali rushwa za wazi barabarani !! Hizo achana nazo zimekushinda pia huenda pesa ya "jiki" ya kufua yunifom inapatikana!!!
Amka jeshi ilaivua nguo serikali
 
Tatizo sio waziri tatizo ni mfumo mzima....jeshi la polisi limepewa meno ya kung'ata yeyote na kwa vyovyote aliye raia wa kawaida na mlengo wa nyuma.kipigo,kudhurumu,kubambikia,Sasa nchi za watu serikali imeandaa raia kujitambua hapa kwetu ukihoji tu kwa nn mnanikamata unapigwa wewe mmh.
 
Back
Top Bottom