Wasanii wa bongo fleva anzisheni kampeni watu hasa vijana warudi vijijini kuzalisha mali

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
2,064
3,011
Kikweli sisi tulioishi miji mikubwa kama Dsm na kisha tukasarenda na kurudi vijijini au wilayan mwanzon tuliona ni dhihaka na aibu lakin kadiri muda unavyokwenda mimi situjii kabisa uamuzi niliouchukua!!!
Nikitembea miji kama Dsm natamani watu wengi wajaribu kufata nyayo zangu,sina mafanikio makubwa kiviiile lakin kama naiona kesho yenye nuru kuliko nilivyokua na banana hapo town!!!
Ninatamani wssanii badala ya kuimba mapeeenzi kila kibao sasa hebu geukeni muwe kama akina urafiki jazz walivyoimba nyakati zile kuhamadisha watu wafanye kazi za mikono zenye tija!? Mfano urafik wana kibao kinautwa "_jeza ulole" kina mashairi ya kuhamasisha watu wafanyekazi badala ya kung'ang'ania mijini.
Unakuta mtu anauza visu kwenye makutano ya barabara,soksi pair 5,penseli dazen nk!!?
 
Wao wenyewe wamekimbilia mjini, watamshauri nani arudi kijijini? Itakuwa sawa na wimbo wa wanasiasa wanaowataka vijana wajiajiri, wakati wao wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi kila mara.
 
Kikweli sisi tulioishi miji mikubwa kama Dsm na kisha tukasarenda na kurudi vijijini au wilayan mwanzon tuliona ni dhihaka na aibu lakin kadiri muda unavyokwenda mimi situjii kabisa uamuzi niliouchukua!!!
Nikitembea miji kama Dsm natamani watu wengi wajaribu kufata nyayo zangu,sina mafanikio makubwa kiviiile lakin kama naiona kesho yenye nuru kuliko nilivyokua na banana hapo town!!!
Ninatamani wssanii badala ya kuimba mapeeenzi kila kibao sasa hebu geukeni muwe kama akina urafiki jazz walivyoimba nyakati zile kuhamadisha watu wafanye kazi za mikono zenye tija!? Mfano urafik wana kibao kinautwa "_jeza ulole" kina mashairi ya kuhamasisha watu wafanyekazi badala ya kung'ang'ania mijini.
Unakuta mtu anauza visu kwenye makutano ya barabara,soksi pair 5,penseli dazen nk!!?
Babu tale atakuelewa!!
 
Kwa kweli vijijini kuna fursa, si kilimo na ufugaji tu, na mengineyo yapo. Ni ngumu kumhamasisha kijana aliyezaliwa mjini na kukulia huko kwenda kuanzisha harakati za maisha kijijini. Labda huyo kijana ana maono chanya ya kuona fursa za uwekezaji kijijini.
 
Kikweli sisi tulioishi miji mikubwa kama Dsm na kisha tukasarenda na kurudi vijijini au wilayan mwanzon tuliona ni dhihaka na aibu lakin kadiri muda unavyokwenda mimi situjii kabisa uamuzi niliouchukua!!!
Nikitembea miji kama Dsm natamani watu wengi wajaribu kufata nyayo zangu,sina mafanikio makubwa kiviiile lakin kama naiona kesho yenye nuru kuliko nilivyokua na banana hapo town!!!
Ninatamani wssanii badala ya kuimba mapeeenzi kila kibao sasa hebu geukeni muwe kama akina urafiki jazz walivyoimba nyakati zile kuhamadisha watu wafanye kazi za mikono zenye tija!? Mfano urafik wana kibao kinautwa "_jeza ulole" kina mashairi ya kuhamasisha watu wafanyekazi badala ya kung'ang'ania mijini.
Unakuta mtu anauza visu kwenye makutano ya barabara,soksi pair 5,penseli dazen nk!!?
Huna akili.
 
Inabidi uandae semina kwa hao wasanii, na baadare ziara, uwaelimishe na kuwaonesha fursa huko vijijini ili na wao baada ya kujionea, wahamasishe.
Unajua kama wao wako mjini tu na pengine nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom