Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
2,064
3,011
Nawaza na kuwazua sipati jibu. Ndani ya siku 100. Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje.
Hebu ona hii orodha:

1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe
2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu
3) Sabaya yupo jela
4) Mdude kaachiwa
5) Kufundisha Uzalendo na historia ya nchi! Nooooo
6) ATC hasara ya kufufuka MTU
7) Mpaka na Kenya upo wazi
8) Manji yupo
9) Bandari ya Bagamoyo "mchakato wa kupata mwekezaji huoooo
10) Waliopewa madaraka kwa ukanda akina Bashiru chaliiiiii Doto ondoaaaa
11) Bashite hana kazi
12) Madaraja yamepanda
13) Ajira zimeachiwa
14) Kukosoa ruksa
15) Deni la taifa ni balaaa
16) Online TV ruksa
17) Wabunge wa CCM walijadili uporwaji wa pesa za wafanyabiashara

Kiukweli tuacheni unafiki najua wengi silaha ya mjinga ni unafiki

Jamaa alikua anatupeleka chaka bovu!
 
Nawaza na kuwazua sipati jibu!!Ndani ya siku 100!! Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje!!!
Hebu ona hii otodha

1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe
2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu
3)Sabaya yupo jela
4) mdude kaachiwa
5)kufundisha Uzalenda na historia. Ya nchi!! Nooooo
6)ATC hasara ya kufufuka MTU
7)mpaka na Kenya upo waz
8)manji yupo
9)bandari ya bagamoyo " mchakato wa kupata mwekezaji huoooo
10) waliopewa madaraka kwa ukanda akina Bashiru chaliiiiii Doto ondoaaaa
11) Bashite hana kazi
12)madaraja yamepanda
13) ajira zimeachiwa
14) kukosoa ruksa!!!
15) Deni LA taifa ni balaaa
16)online TV ruksa
17)wabunge wa CCM walijadili uporwaji wa pesa za wafanyabiashara

Kiukweli tuacheni unafiki najua wengi silaha ya mjinga ni unafiki !!

Jamaa alikua anatupeleka chaka bovu!!!
Ukielewa tofauti utaelewa kwa nini nilikuwa naandika "Magufuli is a country bumpkin".
 
Amefanyanya kwa kadiri alivyoamini kuwa atafanikiwa....kuna mafanikio ameyapata ingawa yameacha vidonda kwa wengine ...kuna blunder alizifanya na zimeacha neema kwa wengine.Basi tumuombee kwa mwenyezi Mungu na Mungu azipokee kazi zake njema huko alipo kwani kifo ndio mwisho wa uhai wa kila mmoja
 
Back
Top Bottom