Search results

  1. Buza Kwa Mpalange

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?Sababu ni hizi hapa

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL? Sababu ni hizi hapa 1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
  2. Buza Kwa Mpalange

    Mradi gani unafanyika kwenye bonde la Mkwajuni?

    Leo katika kuzurura kwangu nikajikuta naelekea Masaki. Nikiwa ndani ya daladala nikajikuta tunapiga Kinondoni lililo bonde la Mkwajuni nimekuta magari yanapanua ule mto huku mengine yakichota mchanga na kupeleka upande wa pili ya barabara. Je kuna mradi gani unawekwa pale?
  3. Buza Kwa Mpalange

    Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  4. Buza Kwa Mpalange

    Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Hatimaye TTCL wameanza kukosa ubunifu kabisaaa 👉Now wapowapo tu ubunifu ni 0.05%. Badala ya kuumiza kichwa kuboresha huduma, wameenda kumsainisha Nandy kwenye lebo yao ya Rudi Nyumbani Kumenoga ili wazurure kufanya shoo mikoani. 👉Unapiga menyu yao ya kuangalia salio. Ujumbe unakuja kuletewa...
  5. Buza Kwa Mpalange

    Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  6. Buza Kwa Mpalange

    Amwagia maji ya moto mkewe akidai alichelewa kumpikia

    Muhoni John (25), anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mkewe, Naomi Lucas kwa madai ya kuchelewa kumpikia chakula. Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema leo Jumanne Oktoba 20, 2020 kuwa mkazi huyo wa kitongoji cha Nyansirori kijiji...
  7. Buza Kwa Mpalange

    Maiti ya kichanga yafikisha siku 40 mochwari kusubiri DNA

    Mgogoro kati ya uongozi wa kituo cha afya Nguvu Kazi kilichopo Nyeburu, Chanika mkoani Dar es Salaam na wazazi umesababisha maiti ya mtoto mchanga kukaa mochwari kwa siku 40. Mgogoro huo ulianza baada ya mama wa mtoto huyo Maisha Ally kujifungua Septemba 7 kituoni hapo na kupewa taarifa kuwa...
  8. Buza Kwa Mpalange

    Washindi wa Billboard Music Awards 2020

    Tuzo za Billboard mwaka 2020 zimemalizika usiku wa kuamkia leo, Post Malone ameibuka kinara kwa kuondoka na tuzo 9 mkononi. Malone amenyakua vipengele vya; Top Artist, Top Male Artist, Top Billboard 200 Artist, Top Hot 100 Artist, Top Streaming Songs Artist, Top Rap Artist, Top Rap Male Artist...
  9. Buza Kwa Mpalange

    Nimerudi Halotel na Vodacom baada ya TTCL kupandisha bei ya vifurushi

    Moja kwa moja kwenye mada, Hii kampuni ya kuitwa TTCL Customer Care imekuwa hawajali kabisa wananchi wa kipato cha chini kabisa. Mwanzo walikuwa na vifurushi rafiki sana, Watanzania tukaanza kuwaamini tukaona ndio wanatutoa kwenye mikono ya utawala wa kinyonyaji wa mabeberu akina VodaCom...
  10. Buza Kwa Mpalange

    Msaada na Ushauri: Nini hatma ya maisha yangu?

    Habari za muda huu wana JF. Mimi sio mgeni humu, nilishakua guest humu kwa miaka 7 mpaka nimechukua maamuzi ya kuwa mwanachama rasmi. Poleni na mapambano dhidi ya COVID-19. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa miaka 23 naishi Dar. Tangu nimalize kidato cha 4 mwaka 2014...
  11. Buza Kwa Mpalange

    Hadithi: Chausiku

    CHAUSIKU (1) Ni binti mrembo Chausiku akiwa anavua nguo zake kwenye shamba kubwa la Ndizi pembezoni mwa ziwa Victoria ni ngumu kujua alikua anafanya nini hivyo kwa dhumuni gani labda joto la siku hiyo kwenye eneo hilo.kwa kweli alikua msichana mrembo sana katika mji alio kua akiishi na...
Back
Top Bottom