Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

Buza Kwa Mpalange

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
268
156
Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo.

Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza.

1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini

2. Hakina umeme

3. Hakina maji mahabusu sijui watachambia nini?
Majani,?

4. Hakina polisi wenye silaha wanaokaa hapa kituoni, wengi walikuwa wanafanya kazi kwa muda wa masaa 8 yaani kituo kinafunguliwa saa 2 asubuhi kinafungwa saa 11 jioni

5. Ukienda kuripoti usiku holaaa hawapo inabidi uende Chang'ombe au Makangarawe

6. Uhalifu unaanza kurejea Buza yaani vibaka nyomi, wavuta bangi watoto wanazurura tu

7. Mbaya zaidi siku hizi watu wanafanya matusi kwenye kuta za kituo cha Polisi. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu watu kama watau wanafanya threesome kwenye kituo chenu pale nyuma.

OMBI LANGU

Vuteni maji na umeme kisha wekeni maaskari wapya ili kituo kifanye kazi usiku na mchana.
 
Salaam yako imekaa kiuharakati sana.
 
Back
Top Bottom