Search results

  1. Lighton

    Enjoy your life

    Habari za jioni wakuu. nimeona hii title inaweza kuendana na mada yangu ila kikubwa niwashauri ndugu zangu wana jf tumtangulize MUNGU kwa kila jambo kabla ya kuanza shughuli zetu, siku moja tu ina thamani sana kwenye kupambana kwa bidii kutafuta pesa. Naomba nisisitize hapa "TUTAFUTE PESA KWA...
  2. Lighton

    Mwanamke akiwa hedhi anakuwa na hasira na mpenzi Wake?

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza ni exactly kilichonitokea na kinachoendelea kunitokea. Mimi siyo mtaalam wa mambo ya wanawake, so katika hili sifahamu, "hivi mwanamke akiwa period anakuwa na tabia kumchukia mpenzi wake?[emoji120][emoji120]
  3. Lighton

    Wanawake vijicho upande

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake sasa hivi wamekuwa yaani ni kama wana side mirror hivi kwenye macho yao, sharauti kwa wale madem ambao ukiwaita wakipiga macho mbele ni mbele hawakuchungulii kwa pembeni[emoji123] kuna watu wanajiuliza side mirror ninazozizungumzia ni zipi? jaribu...
  4. Lighton

    Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  5. Lighton

    Akili za vijana zinazidi kuteketea

    Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka. Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia...
  6. Lighton

    Ukweli ni upi? Au ni Roho chafu za ushetani? Au upotoshaji kwa Roho zisizo na hatia?

    Hapa nazungumzia imani ya kikristo na kiislam juu ya upendo, hasa upendo wa Agape(yaani upendo wa mtu kuutoa uhai wake kwaajili ya wengine) baada ya kuwa na mijadala kadhaa na baadhi ya wajuzi wa Quran tukufu, nimepata kugundua kuwa upendo wa Agape ni dhambi kwa uislam. wanadai kwamba uislam...
  7. Lighton

    Aangua kilio baada ya mpenzi wake kuolewa kwa siri

    Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam. Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa mwanamke. jamaa alijitoa sana, alisaidia ndugu wa mwanamke. kingine ni kwamba, huyu mwanamke...
  8. Lighton

    Punyeto ni ushetani

    Bila ya kupoteza muda naomva niende moja kwa moja kwenye mada. Mada yangu inachochewa na utafiti mdogo ambao nimeufanya kuhusiana na hii kitu ya kuitwa punyeto. punyeto ni kitu mbaya sana linapokuja swala la spiritual issues. kuna kipindi nimewah kuandika mada inayohusu uraibu wa kupiga...
  9. Lighton

    UDINI ni kitu kibaya sana

    Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana. Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan...
  10. Lighton

    IMANI: Ukweli kuhusu ukuu wa Mungu

    wasalaam......! poleni na majukumu na wale ambao mnaendelea na majukumu, all the best. bila ya kupoteza time nying let me go straight kwenye mada. Hili ni swala la imani, na ukizingatia imani zote mbili yaani ukristo na uislam unaongozwa au umejengwa katika misingi ya kiimani. kuna wale ambao...
  11. Lighton

    Kwanini tusishughulike na mambo ya muhimu?

    Nimesoma taarifa fulani kwenye mtandao kwamba serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imeongeza uwekezaji katika kukomesha kabisa video za ngono almaarufu ponograph. Binafsi sijaridhishwa na maamuzi ya serikali kwasababu; 1. Yapo mambo muhimu ya kufanya wakati tunapambana kuweka...
  12. Lighton

    Kwenye haya maisha usilalamike sana, unaziba mlango wa baraka

    Iko hivi, wewe kwenye maisha ni mtu wa kulalamika tu, ukikaa vijiweni ni kulalamika tu oooh maisha magumu, Oooh serikali imetuacha, mara Mungu ameniacha, kwanini mimi? Angalia, siri ya mafanikio yako ipo kwenye kutokukata tamaa, kupambana na kuamini. Acha lawama za ajabu ajabu hazikusaidii...
  13. Lighton

    Hivi uchawi una faida gani?

    Wakuu naomba muongozo, hivi uchawi una faida gani kiuchumi? Maana wanaosadikika na waliowahi kujulikana kuwa wachawi maisha yao ni duni sana kias kwamba hata kupumua wanashindwa. Kuna majirani huu mtaa wanasadikika kuwa wachawi na mwingine nimemuona mida ya saa 6:15 hivi usiku (yaani siyo mda...
  14. Lighton

    Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  15. Lighton

    Tabia ya mzee siku hizi inanitia shaka

    Wasalam wakuu..[emoji120] Ndugu zangu ninawaomba mnipe mwongozo tabia ya mzee nowdays imechange kinoma kufikia hatua kuanza kunitisha. Siku ya jumapili huwa watoto tunakutana kwa mzee kwaajili ya kuweka mambo sawa. Sasa jumapili ya jana tulikutana kama ilivyo ada, tukapata chakula cha mchana...
  16. Lighton

    MAISHA: Kufanikiwa na nyakati zake

    Maisha yametawaliwa na changamoto, itategemea na ukubwa wa changamoto zenyewe lakin changamoto hazikosekani kwenye maisha Never. Angalia tukizungumzia changamoto kwenye mahusiano. Utakuta kwenye mahusiano either boy or girl anapitia changamoto za maumivu kwenye mahusiano. Anampenda mwenzake...
  17. Lighton

    Nifanyeje? Eti sasa hivi baba ndiyo anarudisha upendo kwangu

    Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza. Mimi tokea nimezaliwa, mpaka najitambua nafikia umri wa miaka 24 mimi simjui baba yangu kwa sura, siyo kwenye wala live. Niliwahi kumuuliza mama akaniambia baba yangu yupo mamtoni (Ujerumani) na ndiyo ndugu zake wanakaa huko. Nilimuuliza kama baba yangu...
  18. Lighton

    Huyu mwanamke simuelewi, ana mtu wake lakini anataka kupiga mechi na mimi

    Sikia hii! UTANGULIZI Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A. Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu demu katongozwa na watu wengi sana pale shule nikiwemo na mimi rafiki yake mkubwa lakin wapi...
  19. Lighton

    Naomba ufafanuzi kuhusu hii kozi

    Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya social helth science. Yaan inahusiana na nini,upana wake na uhusiano katika soko la Ajira. Natanguliza shukran zangu za dhati[emoji120][emoji120]
  20. Lighton

    Time inaenda slow kinoma leo

    Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote. Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
Back
Top Bottom