Wanawake vijicho upande

Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
881
1,636
wanawake sasa hivi wamekuwa yaani ni kama wana side mirror hivi kwenye macho yao, sharauti kwa wale madem ambao ukiwaita wakipiga macho mbele ni mbele hawakuchungulii kwa pembeni

kuna watu wanajiuliza side mirror ninazozizungumzia ni zipi? jaribu kuchunguza demu anapokatisha mbele za wanaume, anakuwa dizain flan kama anaangalia mbele lakin ukijaribu kumchunguza kwa makini unaona kabisa anakucheki kwenye side mirror (zingatia sana kuangalia macho yake utagundua ninachokiongelea)

kuna ile dem kakatisha, washkaj wanamchora mixer kama kumshtua flani hv, halaf unakuta demu hageuki, kumbe anakuchora tu kwenye side mirror ili aone je uko serous? mim nilisanuka kwa madem kadhaa hiv na nilivyopiga gia no 1 tu imoooo

oyyy mazeee hawa sasa hivi ndo style yao kubwaa, ukiita dem hageuki wew ungaa, trust me bro, utakuja kunishukuru.

ila kwa upande wa pili tuambizane ukweli tu dada zangu, kwann mmekuwa hvyo, we ukiitwa na washkaj we geuka then wachane tu kama huwakubali, au ukiona miyeyusho we pita na zote, hizi mambo za kututest acheni bana dunia iko far sana.

yote kwa yote dear men, uhalisia ndo huo hawa mabibie wanabuni mbinu za kila aina za kujifanya hawatukubali but deep in their heart wanatukubali lakini wanatuvungia sijui shida nini! Anyway mambo yasiwe mengi.......... Goodnight guys
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom