Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
881
1,636
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia.

Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya.

========

Ushauri wa wadau juu ya jambo hili

Japo punyeto ina matumizi mazuri na mabaya, wengi wetu tumejikuta tumeangukia kwenye matumizi mabaya ya punyeto. Tuangalie matumizi mabaya ya punyeto.

Ni yale ya kujichua sababu una nyege na umeshindwa kujizuia. Ni yale ya kujichua bila mpango maalumu wa kujiimarisha misuli. Ni yale ya kujichua ili kujipooza hisia, pengine ukiwa unaangalia video za ngono. Hadi kupelekea kujiona hufai mbele ya jamii. Au imefikia hatua hata kumridhisha mwanamke wako imekua ni shida.

Kila ukijichua vibaya unajiambia leo ndio siku ya mwisho, lakini kesho tena unajikuta umejichua hadi unaichoka tabia yako. Kama unaona umeshachoka na hali ya kujichua ni muhimu pia upate mwongozo wa namna ya kuacha.

Anza na maamuzi
Kiukweli safari haitakua rahisi, sababu ulishazoea kwamba muda fulani mi lazima nijilipue. Maamuzi yatakusaidia kuona upande wa pili wa sarafu kwamba unaweza kuishi bila kujichua vibaya katika muda uliouzoea, pia maamuzi yatakukumbusha kuwa una mpango wa kuacha.

Maamuzi hayo yanajumuisha;
~ Kuamua nini utafanya kama mbadala wa punyeto.
~ Kuamua nini utafanya endapo hisia za kumiss punyeto zikikujia.
~ Kuamua nini utajiambia moyoni ili kujishawishi uache.
~ Kuamua nini ufanye kubadili mazingira yasikushawishi tena. Hili ni muhimu.
~ Kuamua nini utafanya ili uhakikishe utaendelea kuwa na nidhamu katika safari yako ya kuacha punyeto mbaya. Yaani kubadili tabia kiujumla. Maana kwa sasa hiyo ni tabia tu, hivyo ukiweza kujilazimisha tabia mpya utasahau hata kama uliwahi kujichua vibaya.

Jifunze kuendesha hisia zako
Usiziache zikuendeshe. Pazuri pa kuanzia ni kujitambua hisia zako na maneno unayojiambia mara kwa mara. Hisia ndizo hutufanya tufanye jambo fulani. Kwaiyo uzitumie vizuri.

Wakati unaendelea na safari hiyo, kwanza ukubali kuwa una maendeleo nzuri. Kama ulikua unajichua mara 3 kwa siku, halafu ukaja kujichua mara moja kwa siku, tambua kuwa umejitahidi. Jipe pongezi. Kuashiria unachokifanya ni sahihi, ila usijilaumu kuwa umejikuta umejichua japo ulitaka uache kabisa.

Ebu fananisha na hii, kama mtu ulizoea kula mara 3 kwa siku halafu ghafla ukaambiwa unywe chai tu mpaka kesho. Unafikiri utaweza vumilia? Hapana. Na ndio hivyo kwenye kuacha, ukiona umepunguza kutoka kujichua mara 5 kwa wiki hadi kujichua mara 3 kwa wiki tambua umefanikiwa.

Halafu ujiwekee malengo mapya kuwa unataka kujichua mara 2 kwa wiki, ukiweza unajiwekea mara 1 kwa wiki, ukiweza unajiwekea mara 3 kwa mwezi. Mpaka inafikia hatua huoni haja ya kujichua tena.

Pia katika kupunguza kujichua, tambua kuna siku ambazo utateleza. Hizo zisikufanye ujione mbaya, au ujione umeshindwa. Unaweza jiambia, sio kila siku ni jumapili. Hata Simba na Yanga hazishindi kila mechi.

Kuteleza kidogo kusikuyumbishe, zingatia zaidi maendeleo yako kuliko unapofeli. Hivyo ni muhimu kujitambua, kutambua kuwa una maendeleo. Ukishatambua hilo unajitengenezea kujikubali. Usipojikubali na maendeleo yako utajikuta unarudi ulipotoka.

Hivyo kila mara jikumbushe kuwa unafanya vizuri, una maendeleo mazuri. Jikubali na ujisifie pale unapokuwa na maendeleo yoyote, usijishushe na kuona unafanya vibaya.

Pili achana na kuhesabu siku
Kwamba mimi nipo siku 20 bila kujichua (no Fap). Hilo litaufanya ubongo wako ukumbuke kuhusu kujichua. Achana nayo. Badala yake upe ubongo wako kazi nyingine kabisa.

Hesabu siku kwa jambo lingine. Mfano, mi nilijiwekea kuwa nataka nicheze chess kwa siku 10 badala ya kuhesabu sijapiga puli kwa siku kumi. Hata kama ilitokea nikateleza niliendelea kujipongeza kwa kuweza kucheza chess, mpaka nikazoea maisha mapya.

Unaweza kujiwekea kitu chochote cha kufanya, labda kusoma, kucheza draft au lolote ambalo unalipenda. Angalia hapo nimekuambia lolote utakalolipenda, usije ukajilazimisha kitu usichokitaka. Sababu safari ya kuacha kujichua si rahisi mwanzoni. Kwanini ujipe mzigo mwingine. Hivyo, weka nguvu zako kwenye kitu kingine na usiweke nguvu zako kwenye kuacha kujichua.

Tatu, tafuta mpenzi
Kuwa na mpenzi kutakusaidia pia kuacha kujichua, lakini kama unaye halafu bado unajikuta unajichua, basi tambua kuna tabia inabidi ubadili. Tabia ya ubinafsi, hivyo; anza kufikiria kumridhisha mpenzi wako, anza kumsikiliza kiundani mpenzi wako, anza kujifunza kumjali mpenzi wako, anza kujifunza kumhudumia mpenzi wako, anza kumshirikisha vitu mpenzi wako.

Kumbuka kama wapo walioweza, hata nawe unaweza. Anza kubadili vile unajiambia moyoni, usijiambie ntaacha kesho au hii ndo ya mwisho, bali jiambie kuhusu mambo mengine yanayokuvutia.

MUHIMU: Jipe muda, jipe muda kuzoea tabia yako mpya unayojijengea.
 
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakin siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia

Nakirusha tu shwaaa dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee plzz hali ni mbaya
Una umri gan?
 
1662961436081.jpg

😛👀 Picha zilizobaki kichwani.
Nyeto ni umalaya wa kinafsia.
 
nimeshindwa kuacha punyeto
Sio dhambi, na haiui hakuna palipoandikwa kwamba ukipiga utakufa au utapata ulemavu, endelea kujichukulia sheria mkononi mkuu walioendelea wamechonga mpaka midoli ya kuinyandua nayo, jimalize mkuu kikubwa hujabaka mtu na kumlawiti Ila umejibaka na kujilawiti mwenyewe kwa kupitia mkono wako hufungwi jela kwa kesi km hio, na sio kosa la jinai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom