Huyu mwanamke simuelewi, ana mtu wake lakini anataka kupiga mechi na mimi

Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
881
1,636
Sikia hii!

UTANGULIZI
Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A.
Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu demu katongozwa na watu wengi sana pale shule nikiwemo na mimi rafiki yake mkubwa lakin wapi hatukuambulia kitu.

Japo niseme urafiki wangu mimi na huyu bibie ulikuwa urafiki unaofanana na mahusiano ya kimapenzi. Mpaka tunamaliza kidato cha 4, kila mtu anaenda advance shule yake, tulikuwa tunawasiliana kama marafiki tu, mpaka chuo alienda kusoma mkoa tofauti na niliopo kwa hiyo yale mahusiano ya urafiki yanayofanana na mapenzi yalipungua kufikia hatua ya kuangaliana status tu.

Ulikuwa sijui ni mwaka wa 2 kama sikosei au wa 3 huyu bibie alipata boyfriend pale chuoni kwao na istoshe inaonekana demu ndiyo alimpenda sana mshikaji kwasababu ilikuwa haipiti bila kumpost.

Ah basi mimi kiande aliyepaushwa na maisha ikabidi nikaushe tu niendelee kulisukuma gurudumu la maisha. Kimsingi niligive up.

Twende kwenye stori yenyewe sasa....

Jumamosi ya week iliyopita nipo zangu na washkaj tumechill naona call ya huyu bibie. Nilishtuka kimtindo kwasababu ilikuwa ni kitambo sana. Nikapokea simu baada ya salamu akaniuliza "Upo wapi? Nikamjibu "Nipo mtaani" akaniambya naomba nikuombe kitu "Nikamwamby "fresh nipange".

Akaniambia naomba nitoe out popote kila kitu juu yangu, nikamuuliza upo serious? Akasema niambie tuondoke, nikasema poa ngoja nijiandae nikucheki. Ikafika mishale ya saa 11 jion nikampigia akaniuliuliza tayari? Nikamwambia yeah fanya uje sehemu x, akasema poa nipe dakika 10, kweli bana baada ya muda huyu hapa.

Sasa kilichonishangaza ile ameshuka kwenye gari amekuja tumeonana akaja akanikumbatia, ah nilidharau nikaona si mshikaji tu huyu labda amekumbushia kipindi kile. Nikaamua kupotezea, tumetoka pale uuuuuu mpaka sehem x, tukapata juice pale, na aliagiza na nyama choma. Tukaanza stori...

Itaendelea.......
 
Advanced levels na hata elimu za vyuo vikuu bado wote mna akili za kivulana na kisichana, alikuwa sahihi na wewe ulikuwa sahihi labda baada ya kumaliza kabisa hatua hizo za elimu na kusota mitaani baada ya miaka mitatu hadi mitano ndipo mnapoanza kujitambua kiutuuzima.
 
Punguza jazba mkuu. Wanawake (wote) siyo mashetani. Kuna wanawake ambao ni malaika kabisa hapa duniani. Huwa napinga pia kauli ya eti wanaume wote ni mambwa! Kuna wanaume pia ambao ni malaika kabisa hapa duniani.

Anyway, labda ukija kumalizia story yako ndiyo tutaona ushetani wa huyu rafiki yako aliyekutia kwenye friendzone miaka na miaka. Yote kwa yote pole!
 
Women can be super dangerous, Women are more complex creatures, Elon Musk, Jeff Bezos, Tiger Woods, Michael Jordan, Arnold Schwarzenegger, Brad Pitt, Elon Musk and the list goes on, hao ni watu matajiri na maarufu lakini wame divorce na wanawake wao, unajifunza nini? Je kuwa tajiri ndio ku mkeep around mwanamke? kuwa maarufu? mimi sijui... tukianza kuwaelezea wanawake hapa hatuwezi maliza..

We have absolutely no idea of what women want, we just always pretend to know them..

Sisi wanaume We may be physically stronger but emotionally we are much much weaker and vulnerable than women...
 
Screenshot_20221013-203847_Swahili Bible Offline.jpg
 
Walivyodivorce walitoka patupu?
 
Punguza jazba mkuu. Wanawake (wote) siyo mashetani. Kuna wanawake ambao ni malaika kabisa hapa duniani. Huwa napinga pia kauli ya eti wanaume wote ni mambwa! Kuna wanaume pia ambao ni malaika kabisa hapa duniani.

Anyway, labda ukija kumalizia story yako ndiyo tutaona ushetani wa huyu rafiki yako aliyekutia kwenye friendzone miaka na miaka. Yote kwa yote pole!
Nasikia wanaume wote ni mbwa 😂😂😂
Ila ndio kuna German Shepherd, Bull dogs, Puppy na mbwa koko kwahiyo kila mwanamke aangalie type yake anayotaka 🤣🤣🤣
 
Sikia hii!

UTANGULIZI
Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A.
Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu demu katongozwa na watu wengi sana pale shule nikiwemo na mimi rafiki yake mkubwa lakin wapi hatukuambulia kitu.

Japo niseme urafiki wangu mimi na huyu bibie ulikuwa urafiki unaofanana na mahusiano ya kimapenzi. Mpaka tunamaliza kidato cha 4, kila mtu anaenda advance shule yake, tulikuwa tunawasiliana kama marafiki tu, mpaka chuo alienda kusoma mkoa tofauti na niliopo kwa hiyo yale mahusiano ya urafiki yanayofanana na mapenzi yalipungua kufikia hatua ya kuangaliana status tu.

Ulikuwa sijui ni mwaka wa 2 kama sikosei au wa 3 huyu bibie alipata boyfriend pale chuoni kwao na istoshe inaonekana demu ndiyo alimpenda sana mshikaji kwasababu ilikuwa haipiti bila kumpost.

Ah basi mimi kiande aliyepaushwa na maisha ikabidi nikaushe tu niendelee kulisukuma gurudumu la maisha. Kimsingi niligive up.

Twende kwenye stori yenyewe sasa....

Jumamosi ya week iliyopita nipo zangu na washkaj tumechill naona call ya huyu bibie. Nilishtuka kimtindo kwasababu ilikuwa ni kitambo sana. Nikapokea simu baada ya salamu akaniuliza "Upo wapi? Nikamjibu "Nipo mtaani" akaniambya naomba nikuombe kitu "Nikamwamby "fresh nipange".

Akaniambia naomba nitoe out popote kila kitu juu yangu, nikamuuliza upo serious? Akasema niambie tuondoke, nikasema poa ngoja nijiandae nikucheki. Ikafika mishale ya saa 11 jion nikampigia akaniuliuliza tayari? Nikamwambia yeah fanya uje sehemu x, akasema poa nipe dakika 10, kweli bana baada ya muda huyu hapa.

Sasa kilichonishangaza ile ameshuka kwenye gari amekuja tumeonana akaja akanikumbatia, ah nilidharau nikaona si mshikaji tu huyu labda amekumbushia kipindi kile. Nikaamua kupotezea, tumetoka pale uuuuuu mpaka sehem x, tukapata juice pale, na aliagiza na nyama choma. Tukaanza stori...

Itaendelea.......
Nitsisoma nikiwa mzima

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Itaendelea nini?
Unawasingizia wanawake ushetani kumbe wewe ndio lishetani like likubwa sana lenye manundu na mapembe mwili mzima.

Itaendelea ili iweje?
 
Nasikia wanaume wote ni mbwa 😂😂😂
Ila ndio kuna German Shepherd, Bull dogs, Puppy na mbwa koko kwahiyo kila mwanamke aangalie type yake anayotaka 🤣🤣🤣
Mimi mbwa koko, mbwa asiye na thamani. Sasa kila mbwa anakuwaga na demu wake, wewe ni Manunu, au siyo?
Au mbwa ndio wanadinyana na farasi sio?
 
Walivyodivorce walitoka patupu?
Sasa mke wa Masanja alikuwa anatafuta nini kwa katibu wa kanisa? huwa mnajazana tafuta hela, kwani yule mkewe alikosa nini kwa jamaa?

Tafuta pesa uje umrahisishie mwanao/wanao maisha yao, kuwa na fikra kwamba ukipata pesa utamfurahisha mwanamke ni kujidanganya nq mifano ni mingi, narudia tena we have absolutely no idea of what women want, we just always pretend to know them..
 
Sikia hii!

UTANGULIZI
Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A.
Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu demu katongozwa na watu wengi sana pale shule nikiwemo na mimi rafiki yake mkubwa lakin wapi hatukuambulia kitu.

Japo niseme urafiki wangu mimi na huyu bibie ulikuwa urafiki unaofanana na mahusiano ya kimapenzi. Mpaka tunamaliza kidato cha 4, kila mtu anaenda advance shule yake, tulikuwa tunawasiliana kama marafiki tu, mpaka chuo alienda kusoma mkoa tofauti na niliopo kwa hiyo yale mahusiano ya urafiki yanayofanana na mapenzi yalipungua kufikia hatua ya kuangaliana status tu.

Ulikuwa sijui ni mwaka wa 2 kama sikosei au wa 3 huyu bibie alipata boyfriend pale chuoni kwao na istoshe inaonekana demu ndiyo alimpenda sana mshikaji kwasababu ilikuwa haipiti bila kumpost.

Ah basi mimi kiande aliyepaushwa na maisha ikabidi nikaushe tu niendelee kulisukuma gurudumu la maisha. Kimsingi niligive up.

Twende kwenye stori yenyewe sasa....

Jumamosi ya week iliyopita nipo zangu na washkaj tumechill naona call ya huyu bibie. Nilishtuka kimtindo kwasababu ilikuwa ni kitambo sana. Nikapokea simu baada ya salamu akaniuliza "Upo wapi? Nikamjibu "Nipo mtaani" akaniambya naomba nikuombe kitu "Nikamwamby "fresh nipange".

Akaniambia naomba nitoe out popote kila kitu juu yangu, nikamuuliza upo serious? Akasema niambie tuondoke, nikasema poa ngoja nijiandae nikucheki. Ikafika mishale ya saa 11 jion nikampigia akaniuliuliza tayari? Nikamwambia yeah fanya uje sehemu x, akasema poa nipe dakika 10, kweli bana baada ya muda huyu hapa.

Sasa kilichonishangaza ile ameshuka kwenye gari amekuja tumeonana akaja akanikumbatia, ah nilidharau nikaona si mshikaji tu huyu labda amekumbushia kipindi kile. Nikaamua kupotezea, tumetoka pale uuuuuu mpaka sehem x, tukapata juice pale, na aliagiza na nyama choma. Tukaanza stori...

Itaendelea.......
Kwa hiyo mlivyoanza story tu itaendelea? Ndegelesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom