Enjoy your life

Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
881
1,636
Habari za jioni wakuu.

nimeona hii title inaweza kuendana na mada yangu ila kikubwa niwashauri ndugu zangu wana jf tumtangulize MUNGU kwa kila jambo kabla ya kuanza shughuli zetu, siku moja tu ina thamani sana kwenye kupambana kwa bidii kutafuta pesa.

Naomba nisisitize hapa "TUTAFUTE PESA KWA BIDII.

Tusipende kupoteza muda kufanya mambo ambayo hayatusaidii, hasa yale ambayo ni kikwazo kwenye kuchochea maendeleo.

kwa wale ambao bado hamjapata shughuli yoyote ya kuingiza kipato, tusikate tamaa tuombe MUNGU arahisishe njie zetu, na sisi pia tujitahidi sana kupambana, kwasababu hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi.

Tumia mbinu zote ili mkwanja uingie.

Ukiwa na uhakika wa kuingiza mkwanja mzuri kila siku, panga mipango yako vizuri, uhakikishe kila siku unaprogress(AKIBA NI MUHIMU SANA)

baada ya kufanya kila kitu, yaan umeweka mambo yako sawa kama kawaida tafuta muda enjoy maisha.

kama ni kijana hujaoa, hupendi kutoka out unapenda just kuchill geto kama mimi tafuta time upo off enjoy maisha ukiwa geto.

Binafsi mim huw sipendi shida, najuwa kama huwa sipendelei sana kutoka out, so huwa nataka geto kuwe na kila kitu, especially siku moja kabla ya kufikia siku ya mapumziko, huwa nanunua kila ninachokihitaji ili nisipate tabu siku nikiwa geto (yaani siku ambayo cjaenda kazini)

napenda mziki, napenda wine(0%alcohol) napenda weed,napenda kucheki movie ninayoipenda, additional kama atakuja na mchumba itakuwa poa zaidi

yote kwa yote let us enjoy our life, time is very short, tusisahau pia kulipa zaka(10%)
 
Kama unanunua vitu siku moja kabla ya mapumziko bado huna hela. Wenye hela wananunua vitu vinakuwa vinawasubiri muda wote.

Tafuta hela mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom