Search results

  1. RWANDES

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Taarifa za kwamba DP World itaboresha bandari ya Dar es Salaam na mapato kuongezeka hiyo ni ndoto ya mchana kweupe! Hawa watu wamejipanga kuikamua nchi wanachofanya ni kupata pesa kwa mkataba hewa ambao unahusishwa kampuni hiyo. Mimi nasema haya lakini nimeona niseme maana wanaodhani kuwa...
  2. RWANDES

    Safari ya Prof. Ndalichako katika utumishi, siyo chawa wa wanasiasa amejikita kiutendaji zaidi

    Prof. Ndalichako elimu yake haina mashaka hata kidogo, wengi wao tumemjuwa tangu akiwa kwenye elimu nadhani vijana wengi Tanzania hii vyeti vyao vina sahihi yake, huyo mama hawezi kuwa chawa WA wanasiasa maana nakupita katika njia hiyo katika utumishi wake! Yeye abachojuwa NI kutekekeza majukumu...
  3. RWANDES

    Hayati Magufuli alikopa na matokeo tunayaona. Tuna ndege, SGR, Mfugale interchange na daraja la Busisi. Rais Samia anapeleka wapi mikopo?

    Kuna muda maswali mengi huibuka na kujiuliza awamu ya tano kuna usiri wa mikopo ulikuwepo ndani ya miaka mitano. Hayati Magufuli alikopa Trilioni 39 wote tunaona alinunua ndege, SGR, bwawa la Nyerere, daraja la Busisi, Ubungo interchange mfugale, Kijazi pamoja na viwanja vya ndege, vituo vya...
  4. RWANDES

    Safari za Rais Samia zawaletea mchele wa virutubisho kutoka Marekani, taifa langu tunaelekea wapi?

    Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka Marekani. NI aibu sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku tulichonacho kinatosheleza ni bora kama mlivyozoea mungeomba hata pesa tukamaliza miradi ambayo...
  5. RWANDES

    Mimi namuomba Mungu kila siku usiku na mchana kundi Hilo la CCM linaloiba fedha za umma lipalanganyike, siku inakuja

    Kundi hilo dogo limekuwa mwiba mkubwa kwa nchi yetu kitu pekee wanachojuwa NI WIZI na kuunda mikataba mibovu ambayo inanufaisha wao na familia zao, nasema hayo kwa sababu kundi Hilo linajiita wanaijuwa nchi na bila wao hakuna wakutawala akadumu lazima aundiwe Zengwe , na baadhi ya viongozi kundi...
  6. RWANDES

    Hivi kweli Rais ameamua kuziba masikio kuhusu taarifa ya CAG hadi leo kimya kweli CCM hatari kwa nchi

    Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na hayo yote mbunge aneambulia matusi na kejeri baadhi ya chawa WA mama hata raisi mwenyewe hakuna...
  7. RWANDES

    Ndugu zangu tatizo la umeme siyo maji Ila mitambo ilihijumiwa na kijana pendwa enzi zake akiwa hapo wizarani

    Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI mitambo ya kuendesha hayo maji yaliyojaa katika bwawa Hilo. Ndiyo maana matamko yamekuwa mengi...
  8. RWANDES

    Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

    Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama. Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
  9. RWANDES

    Makonda aanzisha kliniki ya kusikiliza kero za wananchi. CCM inawapumbaza wananchi kwa kipindi kifupi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , mapema asubuhi ya leo Jumanne tarehe 6 Februari, 2024 amefika katika ofisi za Manispaa ya Sumbawanga na kukagua utekelezaji wa agizo la Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais Dkt. Samia...
  10. RWANDES

    Lipo kundi lisilozidi watu 100 hao wakitolewa ndani ya serikali na chama nchi hii Itapona maendeleo yataonekana.

    Nchi yetu ina kikundi kidogo hatari kinachoibagaza nchi kupitia kwenye siasa kundi hili ndilo halitaki taifa lipige hatua kwenye rel umeme na miundo mbinu kwa ujumla wapo tayari kutumia njia yoyote wanaoitumikia vyema nchi wasipewe madaraka yoyote ndani ya nchi na ikibidi pindi tu mzalendo...
  11. RWANDES

    Makonda amwambia mkurugenzi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma sisafiri na wadaiwa.

    Moja ya mwananchi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma alilalamikia mbele ya mwenezi kwamba alijenga shule na baada ya kujenga shule hiyo mkurugenzi WA wilaya hiyo alimpa pesa kiduchu tofauti na mkataba waliokubaliana hivyo angekuwa akienda ofisini kwake na kufukuzwa kama mkimbizi asiyefahamika...
  12. RWANDES

    Joto la sukari limekuwa tatizo kwenye jamii. Sasa ni Tsh. 6000/=kwa kilo

    Waziri wa kilimo alitoa kauli kuwa endapo kuna mfanyabiashara atauza sukari bila kufuata bei elekezi ya serikali atolewe taarifa waziri huyo hakubainisha taarifa hizo zitolewe kwa Nani !kwa maana hiyo taarifa yake aliitamka jumlajumla ili umma usije ni wapi pa kupeleka malalamiko hayo na hii...
  13. RWANDES

    Nachojiuliza mkopo wa billion 864 nani analipa kama DP World wamepewa bandari ya Dar?

    Ikumbukwe kwamba Mwaka 2017 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata mkopo kutoka benki ya dunia wa tsh billion 864 kwa ajiri ya kuongeza kina na kuimarusha gati (1-7) pamoja na kuimarisha mifumo ya usimamizi wa taarifa na uendeshaji katika hizo gati. Na mda Wa mkopo ni miaka Saba...
  14. RWANDES

    Bashe: Mimi mabosi wangu ni wanne tu hakuna mwingine je chama kilichokufanya uwe hapo nani ana kitetea kwa yale unayofanya?

    Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi Wanne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo ni yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo inatokana na yeye kuwa mbunge kisha kuteuliwa na raisi kuwa waziri kwa ajiri ya kuhudumia wananchi...
  15. RWANDES

    Paul makonda anayoyafanya yanabaraka zote za viongozi wa juu watendaji wa serikali kuweni makini.

    Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao NI waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu akakutana na kero hizo lazima aelezwe na wananchi ili kutetea chama chake. Sasa kama watendaji wa...
  16. RWANDES

    Watu wanavuna pesa kupitia siasa halafu wanataka wanaojitafutia mkate wa kila siku waandamane, haiwezekani

    Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka. Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya kivuli kinachoitwa upinzani kumbe NI Tawi lilelile la ccm na wengi wanajuwa hawa watu NI pesa mbele...
  17. RWANDES

    Ukweli ni kwamba CHADEMA siyo chama cha upinzani NI kivuli cha CCM

    Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga noti kupitia chama hicho. Niliwahi kuwaambia kwamba mbowe siyo kiongozi wa upinzani isipokuwa NI...
  18. RWANDES

    Mzee Kikwete tunamuona mstaafu lakini hajastaafu

    Vijana wengi wa mjini wanamuita mtoto wa mjini maana kwenye medani za siasa mnaweza kucheka naye akikulia timing unakwisha habari yako. Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake machache nikutotaka kustaafu mbinu anazotumia zinalidumaza taifa katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo...
  19. RWANDES

    Hongera Misri kwa kuitandika Tanzania gori moja kipindi cha kwanza nawatakia kila lakheri

    Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya. Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua...
  20. RWANDES

    Shinyanga: Wananchi manispaa ya mkoa wa Shinyanga wamesema hawana mbunge kwani Barabara kuelekea hospitali ya rufaa imejaa mashimo

    Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wametoa kauli yao kwamba pamoja na majukumu aliyonayo ya serikali Naibu waziri bwana patrobas katambi hakuna anachofanya kwani ameshindwa hata kuomba fedha serikalini kwa ajiri ya kujenga Barabara iliyojaa mashimo kwenda hospitali ya rufaa. Baadhi yao wamesema kwamba...
Back
Top Bottom