Ndugu zangu tatizo la umeme siyo maji Ila mitambo ilihijumiwa na kijana pendwa enzi zake akiwa hapo wizarani

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,684
4,165
Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI mitambo ya kuendesha hayo maji yaliyojaa katika bwawa Hilo.

Ndiyo maana matamko yamekuwa mengi kesho utasikia February tunawasha mara march tunawasha na huku wakiaminisha umma kwa kuonesha mitambo ikizunguka hao Jamaa NI wahuni Tu ila Hali NI mbaya, suala la umeme blitaendelea kuwa changamoto kwa taifa na ndiyo maana utasikia tusitegemee umeme wa maji pekee cha kujiuliza NI kwamba mbona hayo maji yanasemwa kwani hayapo?

Nini kimekwamisha wao kuzalisha umeme hapo ndiyo kuna maneno yasiyoeleweka. Hii nchi haina shida ya umeme tatizo la umeme limetengenezwa na walafi waliohudumu katika wizara hiyo.

Raisi alivyoona kijana pendwa anaharibu alichokifanya NI kumtoa hapo nakumpelekwa wizara nyingine.
Sisi wananchi tujiulize kama nchi inaendeshwa hivi je mhula unaofuata itakuaje maana tulitegemea tuone raisi alifanya kazi lakini amejikalia kimya kama vile hayupo nchini.

Tujiulize malalamiko haya yaliyopo yapo mhula huu anaomaliza je mhula wa pili ambao hatogombea kabisa itakuaje , wananchi hapa tuna mambo yakujiuliza kwa viongozi hawa tulionao.
 
Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI mitambo ya kuendesha hayo maji yaliyojaa katika bwawa Hilo. Ndiyo maana matamko yamekuwa mengi kesho utasikia February tunawasha mara march tunawasha na huku wakiaminisha umma kwa kuonesha mitambo ikizunguka hao Jamaa NI wahuni Tu ila Hali NI mbaya, swala la umeme blitaendelea kuwa changamoto kwa taifa na ndiyo maana utasikia tusitegemee umeme wa maji pekee cha kujiuliza NI kwamba mbona hayo maji yanasemwa kwani hayapo? Nini kimekwamisha wao kuzalisha umeme hapo ndiyo kuna maneno yasiyoeleweka. Hii nchi haina shida ya umeme tatizo la umeme limetengenezwa na walafi waliohudumu katika wizara hiyo.
Raisi alivyoona kijana pendwa anaharibu alichokifanya NI kumtoa hapo nakumpelekwa wizara nyingine.
Sisi wananchi tujiulize kama nchi inaendeshwa hivi je mhula unaofuata itakuaje maana tulitegemea tuone raisi alifanya kazi lakini amejikalia kimya kama vile hayupo nchini.

Tujiulize malalamiko haya yaliyopo yapo mhula huu anaomaliza je mhula wa pili ambao hatogombea kabisa itakuaje , wananchi hapa tuna mambo yakujiuliza kwa viongozi hawa tulionao.
Muhimu zaid ni kuwa na Subra na ustahimilivu. Jambo hili linafanyiwa kazi usiku na mchana kwa kasi na viwango vya hali ya Juu sana 🐒

Kwa ufupi tu ni kwamba tupo vizuri, tupo pazuri na uelekeo ni mzuri zaid
 
Amen🙏🏽
 
Una majibu yenye busara mkuu,huna hasira pia
Kaka nchi hii ukichukulia vitu kwenye userious wake nakuhakikishia siku zako za kuishi zinapungua.

Furahi kunywa maji mengi sheherekea matatizo haya yapo na yataendelea kuwapo

Ila wewe haupo siku zote kazi ikole
 
Muhimu zaid ni kuwa na Subra na ustahimilivu. Jambo hili linafanyiwa kazi usiku na mchana kwa kasi na viwango vya hali ya Juu sana 🐒

Kwa ufupi tu ni kwamba tupo vizuri, tupo pazuri na uelekeo ni mzuri zaid
Uko sahihi kabisa 🌈
 
Biashara ya kuuza solar na majenereta imefanya vizuri sana kuanzia mwaka jana na mwaka huu
 
Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI mitambo ya kuendesha hayo maji yaliyojaa katika bwawa Hilo.

Ndiyo maana matamko yamekuwa mengi kesho utasikia February tunawasha mara march tunawasha na huku wakiaminisha umma kwa kuonesha mitambo ikizunguka hao Jamaa NI wahuni Tu ila Hali NI mbaya, suala la umeme blitaendelea kuwa changamoto kwa taifa na ndiyo maana utasikia tusitegemee umeme wa maji pekee cha kujiuliza NI kwamba mbona hayo maji yanasemwa kwani hayapo?

Nini kimekwamisha wao kuzalisha umeme hapo ndiyo kuna maneno yasiyoeleweka. Hii nchi haina shida ya umeme tatizo la umeme limetengenezwa na walafi waliohudumu katika wizara hiyo.

Raisi alivyoona kijana pendwa anaharibu alichokifanya NI kumtoa hapo nakumpelekwa wizara nyingine.
Sisi wananchi tujiulize kama nchi inaendeshwa hivi je mhula unaofuata itakuaje maana tulitegemea tuone raisi alifanya kazi lakini amejikalia kimya kama vile hayupo nchini.

Tujiulize malalamiko haya yaliyopo yapo mhula huu anaomaliza je mhula wa pili ambao hatogombea kabisa itakuaje , wananchi hapa tuna mambo yakujiuliza kwa viongozi hawa tulionao.
Tuliona magufuli alivyofanya kazi nzuri kwa asilimia zaidi ya 85 tukampa mhula mwingine. Sasa mama kaharibu muhula wa kurithi tutampa mhula mwingine kwa kazi gani?
 
Back
Top Bottom