RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wametoa kauli yao kwamba pamoja na majukumu aliyonayo ya serikali Naibu waziri bwana patrobas katambi hakuna anachofanya kwani ameshindwa hata kuomba fedha serikalini kwa ajiri ya kujenga Barabara iliyojaa mashimo kwenda hospitali ya rufaa.
Baadhi yao wamesema kwamba kama mgonjwa yupo mahututi huenda mauti ya kamkuta kabla hajafika hospitali kutokana na mashimo yalijaaa Barabara hiyo.
Vijana kwa wazee wamejiapiza kufanya mabadiliko 2025. Mbunge huyo wanamtakia Kila la heri kwa kazi nyingine tofauti na ubunge wa jimbo Mwaka 2025.