Search results

  1. Kibumbula

    EU yaruhusu makampuni yake kufuata matakwa ya Urusi

    Umoja wa ulaya hatimaye umeyaruhusu makampuni yake kununua mafuta ya Urusi kwa kufuata taratibu ambazo Urusi kaziweka. Yetu macho na masikio. EU gives companies green light to buy gas from Russia European companies are starting to move ahead to comply with Russian demands and keep the gas...
  2. Kibumbula

    Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

    Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa. Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
  3. Kibumbula

    Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

    Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe. ===== Mabaki ya roketi ya China yalipuka na...
  4. Kibumbula

    Hakika hawa viumbe wana raha yake

    Mimi binafsi hawa viumbe, wananivutia sana ninapowatazama wakiwa kwenye mwendo. Hakika nafsi yangu husuuzika sana. Sijawahi kupata bahati ya kuwatumia hata kidogo. Huu utakatifu tunaojivika huu we acha tu.Unakuta mtu umeng'ang'ana tu na mwanamke mmoja, huku wengine wakijilia tu mema ya nchi...
  5. Kibumbula

    China yalituhumu jeshi la Marekani kupeleka corona virus nchini humo

    Katika kile kinachoonekana kutupiana maneno kati ya China na Marekani,China imelituhumu jeshi la Marekani kuwa ndilo lililopeleka virusi vya corona kwenye jimbo la Wuhan,nchini China,ambako mlipuko wa virus hivyo umeanzia. China government spokesman says U.S. military may have brought virus to...
  6. Kibumbula

    Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

    Katika hali isiyo ya kawaida,Iran imesema kuwa haitaikabidhi Boeing kile Kisanduku cha taarifa. Yetu macho na masikio. Iran will not give black box from crashed Ukrainian airliner to Boeing: Mehr Iran will not give the black box of the crashed Ukrainian airliner to planemaker Boeing, the head...
  7. Kibumbula

    Hatimaye Facebook yakubali yaishe.

    Hivi karibuni, makampuni makubwa, Facebook, Google na mengine kama sikosei yalishtakiwa kwa ku monopolize masoko.Yaani, kuwa na Apps nyingi zaidi ili kuweza kuliteka soko wao tu peke yao kwenye Android na iPhone na mifumo mingine endeshi.Lengo la mashtaka,ni kuwataka Apps zao wazitambulishe kuwa...
  8. Kibumbula

    Ali Kiba aja kivingine.Sasa ni back to back

    Naona kuna dalili ya Ali kiba kubadilika.Kwa sasa kaamua kuachia ngoma back to back,iwe ni ngoma zake au za kushirikishwa kitu ambacho hapo kabla kilikuwa kigumu. Safari hii kaachia wimbo alioimba na Bella.Audio na video vyote vimekamilika. Yetu macho. Mkwaju baada ya Mkwaju - another one...
  9. Kibumbula

    Chukua tahadhari

    Unapiga Simu kwa mpenzi wako mara tatu zote anakata, halafu anakutumia text nimelala....My friend anza kung'atuka Mapema. Sio maneno yangu.Nimeyacopy kutoka kwa mdau wa twitter.
  10. Kibumbula

    Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

    Hakika umeonesha utu,hata kama una mapungufu yako.Sisi sote tunayo mapungufu. --- Diamond Platnumz amezungumzia kilichoandikwa na msanii mwenzake, Ali Kiba katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram saa chache baada ya kumualika kushiriki tamasha la Wasafi litakalofanyika Novemba 9, 2019...
  11. Kibumbula

    Kumbe ni kweli, kujamiiana wakati wa hedhi hakuna madhara kiafya

    Siku zote nilikuwa sikubaliani na madai hayo.Kwa mara ya kwanza leo,nimesanda.Pamoja na hayo yote, hakika yahitaji moyo, kufanya mapenzi kwenye kipindi hicho cha hedhi. Kipindi cha hedhi,hata mke wangu huwa namnyanyapaa.Yawezekana ni kutokana na uwoga wangu tu. ================= USHAURI WA...
  12. Kibumbula

    Naona wajuaji wameshaanza kulivalia njuga sakata la WCB na Harmonize

    Katika kile kinachoonekana misimamo tofauti juu ya sakata la WCB na Harmonize,tayari wajuaji wameshaanza kumwaga upupu wao kwa WCB. Yetu macho na masikio. ---- Mkataba wa Harmonize, WCB ulivunjika tangu 2016 Harmonize amethibitisha kilichonong’onwa muda mrefu kwamba menejimenti ya Wasafi...
  13. Kibumbula

    Huawei yaachana na utegemezi kwa USA

    Huawei,kwa sasa haitegemei tena components za kutoka makampuni ya USA kwenye 5G teknolojia yake.CEO wa kampuni hilo linaloongoza kwa usambazaji wa teknolojia hiyo ya 5G amesema kuwa kwa sasa kampuni hilo linatengeneza lenyewe hizo components. Ngoja tuone huo mtanange. #Huawei CEO #RenZhengfei...
  14. Kibumbula

    Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

    Saudi Arabia imeiomba South Korea kuimarisha ulinzi wake wa anga.Hii inakuja mara baada ya uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kampuni lake kubwa la uchimbaji mafuta na gesi na drones ambazo zinasadikika hazikutoka Yemen,bali Iran. Pamoja na mkwara mzito wa Saudi Arabia wa kuiambia dunia kuwa...
  15. Kibumbula

    Chama cha mabaharia chaja juu

    Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo. Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni. Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita...
  16. Kibumbula

    Huawei waanza kutest mitambo.Harmony Os rasmi kwenye Honor Vision smart TV.

    Hatimaye Huawei waanza kuitumia Os yao kwenye Smart Tv zao zilizozinduliwa rasmi huko Berlin Germany. Kuna uwezekano pia wa simu zao tarajiwa ambazo ni flagship kama Mate 30,Mate X na zingine zitakazozinduliwa mwezi ujao October,kuwa powered by Harmony Os yao. Google rasmi imeifahamisha Huawei...
  17. Kibumbula

    Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

    Muda sio mrefu,bingwa wa Android version updates na security patch level updates duniani, Nokia,anaachia simu zake mpya,kama Nokia 5.2,6.2,7.2,nokia 2720 flik, Nokia 800 na zingine ambazo bado hazijulikani. Karibuni Berlin Germany, kushuhudia uzinduzi.Sisi wafia Nokia, tayari tushajiandaa kwa...
  18. Kibumbula

    Natamani niwakaribishe.

    Natamani hata niwakaribishe majemedari wenzangu kunako hii papuchi yenye viwango na sifa zote nzuri.Sio mapapuchi hata hayaeleweki.Mapapuchi full vimiminika na harufu za ajabu ajabu pasipo kusahau mizingo mikubwa na vipenyo vya kuwafukuza akina sisi ambao mwishowe huitwa wamiliki vibamia. Any...
  19. Kibumbula

    Huawei nao full kupambana

    Huawei wanaendelea kupambana ili kujikomboa kutoka utumwani😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Introducing Huawei Ascend 910, the world's most powerful AI processor, and MindSpore, an all-scenario AI computing framework. https://t.co/fr7pbephja #Ascend910 #MindSpore #ChosenOne Cc: @realDonaldTrump https://t.co/A4ECzvmz1v
  20. Kibumbula

    Naona kila mtu sasa anajaribisha mitambo

    Russia,Iran na North Korea ni full kutest mitambo.Ama kweli kumekucha.USA nae katest siku chache tu zilizopita. Russia test fires missiles from submarines in the Barents Sea Russia test-fired Sineva and Bulava ballistic missiles from two submarines from the polar region of the Arctic Ocean and...
Back
Top Bottom