Hakika hawa viumbe wana raha yake

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Mimi binafsi hawa viumbe, wananivutia sana ninapowatazama wakiwa kwenye mwendo. Hakika nafsi yangu husuuzika sana. Sijawahi kupata bahati ya kuwatumia hata kidogo.

Huu utakatifu tunaojivika huu we acha tu.Unakuta mtu umeng'ang'ana tu na mwanamke mmoja, huku wengine wakijilia tu mema ya nchi. Daaaaaa!

Ngoja tu nikomae na miss wangu.Mamiss nao wana mema yao. Ila hii tabia ya kukomaa tu na mmoja, kana kwamba ni bi mkubwa, sio poa. Sijui nimepigwa limbwata!

Hii picha hakika,imenichanganya.

IMG_20200620_083642.jpg
 
Back
Top Bottom