China yalituhumu jeshi la Marekani kupeleka corona virus nchini humo

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Katika kile kinachoonekana kutupiana maneno kati ya China na Marekani,China imelituhumu jeshi la Marekani kuwa ndilo lililopeleka virusi vya corona kwenye jimbo la Wuhan,nchini China,ambako mlipuko wa virus hivyo umeanzia.
China government spokesman says U.S. military may have brought virus to China

A spokesman for China's Foreign Ministry suggested on Thursday the U.S. military might have brought the coronavirus to the Chinese city of Wuhan, which has been hardest hit by the outbreak, doubling down on a war of words with Washington.

➖ @ReutersWorldChannel ➖
 
Katika kile kinachoonekana kutupiana maneno kati ya China na Marekani,China imelituhumu jeshi la Marekani kuwa ndilo lililopeleka vifusi vya corona kwenye jimbo la Wuhan,nchini China,ambako mlipuko wa virus hivyo umeanzia.
China government spokesman says U.S. military may have brought virus to China

A spokesman for China's Foreign Ministry suggested on Thursday the U.S. military might have brought the coronavirus to the Chinese city of Wuhan, which has been hardest hit by the outbreak, doubling down on a war of words with Washington.

@ReutersWorldChannel
Link ya taarifa iko wapi
 
Kama ni kweli naweza sema mchina alistahili kupewa adhabu inayomgarimu saivi

Haiwezekan mwenzie agundue simu yenye camera tatu halaf mchina anacopy na kutengeneza yenye camera nne Kama sio uchokozi n nn hapo

Mmarekani amempga mchina ili kumkumbusha tu na akiendelea wanaweza wakatengeneza dude lingine ili kuwakomoa zaidi
 
China hawawezi kuthibitisha madai hayo ni kama na wenyewe wamechanganyikiwa na sasa wanaanza kuleta mambo ya kwenye vijiwe.

Wao wapambane na Covid-19 kwani huu sio muda wa kutafuta mchawi pia waache kula hovyo vitu visivyoeleweka.
 
Kama ni kweli naweza sema mchina alistahili kupewa adhabu inayomgarimu saivi

Haiwezekan mwenzie agundue simu yenye camera tatu halaf mchina anacopy na kutengeneza yenye camera nne Kama sio uchokozi n nn hapo

Mmarekani amempga mchina ili kumkumbusha tu na akiendelea wanaweza wakatengeneza dude lingine ili kuwakomoa zaidi
WAKATI UNAANDIKA KABLA YA KUPOST KWANZA FIKIRIA NA USIKURUPUKE KUTUMA POSTS ZINAZOWEZA KUPELEKEA WATU WAKAFAHAMU UJINGA WAKO.

HAYA MANENO YAKO YANAASHIRIA UPEO WAKO MDOGO WA KUFIKIRIA....
ETI, "Mmarekani amempga mchina ili kumkumbusha tu na akiendelea wanaweza wakatengeneza dude lingine ili kuwakomoa zaidi"

SASA TUKUULIZE HIYO CORONA VIRUS INAEMTESA ZAIDI HIVI SASA NI MCHINA ???

TUKUULIZE CORONA IKIINGIA, NA IKIKOLEA KWA NCHI KAMA BONGO JANGA LITABAKI KWA WACHINA PEKE YAO??? UNADHANI BONGO PATAKUWA NA HALI GANI???

WATU WANAKAA MAABARA NA KUPANDIKIZA VIDUDU VINAVYOTESA BINADAMU DUNIA NZIMA, NA HUSUSANA NCHI MASIKINI. WATU WANAKUFA, WANAPATA MATESO MAKALI, WANAISHI KWA KHOFU KWA SABABU YA SAYANSI ZA KIUADU!! I LAKN BADO TU WATU WASIO NA UPEO HAWAWALAUMU WATENGENEZAJI!!.

DAAH. INASIKITISHA SANA
 
Natamani akuelewe asee ila ndio hivyo tena

Kuna watu wanasikitisha sana ukiwafikiria wanayo yafikiria jana italy pekee imeripoti vifo 368 ndani ya masaa 24 halafu anakuja mpuuzi mmoja anaunga mkono uuaji

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom