Chama cha mabaharia chaja juu

Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Messages
3,209
Points
2,000
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2018
3,209 2,000
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia

1568206919469-png.1204537
 
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
1,672
Points
2,000
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
1,672 2,000
Chama cha mabaharia wa ukweli,kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

MABAHARIA WA KWELI KUTOA TAMKO
:
Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia. https://t.co/PlOCEv71XB
Braza watutake radhi,kwani nani baharia wa uongo?

Au kwa kuwa sisi mabaharia tumepata elimu ya mtaan zaid?
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
7,861
Points
2,000
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
7,861 2,000
Mnachafua dhana nzima ya mabaharia.. sisi kama mabaharia wa ukweli tunaosafiri na meli tunapinga vikali matumizi ya neno baharia kwa sababu hatuwezi kukaa kapu moja na wanaume wanao ogopa hata panya road, wanakula mahindi hadi yawekwe chumvi, wanajipodoa utadhani mwanamwali anatolewa posa, wanalipiwa pango na majimama..


Hii ni fedheha kabisa..

Tu ategemea kufungua kesi mahakama ya kisutu soon.. kwanza tundu lisu apate haki yake.
 

Forum statistics

Threads 1,336,613
Members 512,670
Posts 32,545,274
Top