Huawei yaachana na utegemezi kwa USA

Huawei yaachana na utegemezi kwa USA

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Huawei,kwa sasa haitegemei tena components za kutoka makampuni ya USA kwenye 5G teknolojia yake.CEO wa kampuni hilo linaloongoza kwa usambazaji wa teknolojia hiyo ya 5G amesema kuwa kwa sasa kampuni hilo linatengeneza lenyewe hizo components.

Ngoja tuone huo mtanange.

#Huawei CEO #RenZhengfei says the global leader in #5G deployment, which has shipped more than 200,000 5G-enabled base stations worldwide, is now producing 5G base stations without the need for U.S. components. #HuaweiFacts https://t.co/izFOZO4HMi

Screenshot_20190927-192247.jpeg
 
View attachment 1217499
Imeisha hiyo
 
Kinachowaponza wachina ni vikosi vyao maalum kama ‘APT10’ ambavyo vimeundwa kwa mantiki ya ku-hack either technology patents au siri za kibiashara za west.

Apparently lilikuwa ni tatizo sugu jamaa washaua kampuni kadhaa baada ya kuiba technology na kutengeneza knock off products au kuboresha zao, wakati wengine wanahofia kuchukua hatua kwa sababu ya trade wars; Trump kaamua kupambana nao.
 
Unafikiri Trump atawaweza kweli hao wachina?

It’s a complicated war, maana kuna mataifa mengi ya West ambayo wanaiona China kama key player in the future na wanataka access ya masoko yake as well as their investment kwenye mataifa yao.

Hawa wenzetu utaratibu ni maslahi yao kwanza mengine baadae.

The closest US allie UK majuzi tu wamesaini mkataba na China ku-invest £19B kwenye latest nuclear energy plant this is sensitive national security matter.

Na wameingia huo mkataba against the advice of US and some security experts ya kwamba China wataiba safe technology ya kufanyia nuclear enrichment, storage of nuclear waste na ukishaweza kufanya enrichment ivyo kutengeneza bomu ni step ndogo sana.

Huo utegemezi wa capital ndio una wafanya baadhi ya mataifa kuwa reluctant kuchukua hatua kama za US na kuacha kampuni kama HAUWEI kuendelea na investment sensitive nyingine kama za 5G nchini mwao.

Isitoshe kuna consequences wakichukua tough actions kama US iwapo China itajibu mashambulizi.

Kwa sasa China na US watabaki wenyewe kwenye vita yao mshindi atatokana na value anayotoa kwa trade partners, as yet China is leading.

But never forget when you deal with the British or most western nations they tend to think 10 times ahead of you; lazima wana plan B za kujikinga awafanyi mambo kichwa kichwa tu.
 
China strategy yake ni
1.Iba Tekinolojia-mbinu inayotumika hapa ni hackers na wanafunzi wanaokwenda kusoma huko, plus third party companies yanayojifanya yanachukua sampuli au joint venture feki

2.Nunua Tekinolojia-Hapa kinachofanyika ni kama tekinolojia wanaitaka kwa udi na uvumba wako tayari kuinunua kwa bei kubwa mno kuliko ya soko

3.Gawana Tekinolojia-Mbinu inayotumika hapa ni "tupe siri ya tekinolojia yako" tukupe soko kuuubwa la bidhaa zako

4.Dhulumu tekinolojia-Mbinu inayotumika hapa, unakaribishwa kuwekeza china, unalazimishwa kuwa na mchina partner, unalazimishwa uachie trade secrets, mchina anazimaster hizo secrets, then unafanyiwa figisu, unatimuliwa au unaondoka mwenyewe, then mchina anaanza kutengeneza kazi kama zile ulizokuwa ukitengeneza
 
Baada ya US kuona wazi kuwa ni suala la muda tu China kumpita kiuchumi, wakaamua wamuweke mbele kichaa Trump aivuruge China.

Historia inaonyesha kuwa Japan naye alifanyiwa hivyo hivyo miaka ya 80 mwishoni na 90 baada ya US kuona kampuni za Japan zinakuja juu kuzipita za kwao.

Tatizo la US kwa china ni moja. Kwanza China haitawaliwi kijeshi na US kama ilivyokuwa Japan. Japan walifanya kosa la kukubali kutawaliwa na marekani baada ya vita ya pili ya dunia. Kutokana na hilo, US wakawawekea masharti magumu mno hasa hasa kwenye kutengeneza teknolojia mpya za kiraia na kijeshi.
 
Hizi mbinu kama bado hatujaiba basi tuziibe ili zitusaidie
Nalog off
 
Hongera sana kwa uchambuzi mzuri [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
It’s a complicated war, maana kuna mataifa mengi ya West ambayo wanaiona China kama key player in the future na wanataka access ya masoko yake as well as their investment kwenye mataifa yao.

Hawa wenzetu utaratibu ni maslahi yao kwanza mengine baadae.

The closest US allie UK majuzi tu wamesaini mkataba na China ku-invest £19B kwenye latest nuclear energy plant this is sensitive national security matter.

Na wameingia huo mkataba against the advice of US and some security experts ya kwamba China wataiba safe technology ya kufanyia nuclear enrichment, storage of nuclear waste na ukishaweza kufanya enrichment ivyo kutengeneza bomu ni step ndogo sana.

Huo utegemezi wa capital ndio una wafanya baadhi ya mataifa kuwa reluctant kuchukua hatua kama za US na kuacha kampuni kama HAUWEI kuendelea na investment sensitive nyingine kama za 5G nchini mwao.

Isitoshe kuna consequences wakichukua tough actions kama US iwapo China itajibu mashambulizi.

Kwa sasa China na US watabaki wenyewe kwenye vita yao mshindi atatokana na value anayotoa kwa trade partners, as yet China is leading.

But never forget when you deal with the British or most western nations they tend to think 10 times ahead of you; lazima wana plan B za kujikinga awafanyi mambo kichwa kichwa tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fantastic
China strategy yake ni
1.Iba Tekinolojia-mbinu inayotumika hapa ni hackers na wanafunzi wanaokwenda kusoma huko, plus third party companies yanayojifanya yanachukua sampuli au joint venture feki

2.Nunua Tekinolojia-Hapa kinachofanyika ni kama tekinolojia wanaitaka kwa udi na uvumba wako tayari kuinunua kwa bei kubwa mno kuliko ya soko

3.Gawana Tekinolojia-Mbinu inayotumika hapa ni "tupe siri ya tekinolojia yako" tukupe soko kuuubwa la bidhaa zako

4.Dhulumu tekinolojia-Mbinu inayotumika hapa, unakaribishwa kuwekeza china, unalazimishwa kuwa na mchina partner, unalazimishwa uachie trade secrets, mchina anazimaster hizo secrets, then unafanyiwa figisu, unatimuliwa au unaondoka mwenyewe, then mchina anaanza kutengeneza kazi kama zile ulizokuwa ukitengeneza
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Back
Top Bottom