Chukua tahadhari

Chukua tahadhari

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Unapiga Simu kwa mpenzi wako mara tatu zote anakata, halafu anakutumia text nimelala....My friend anza kung'atuka Mapema.

Sio maneno yangu.Nimeyacopy kutoka kwa mdau wa twitter.
 
Mpenzi wangu mimi ni mbege![emoji41][emoji41][emoji41]
Ndiyo tabia zenu
tapatalk_1573991604350.jpeg
 
Unapiga Simu kwa mpenzi wako mara tatu zote anakata, halafu anakutumia text nimelala....My friend anza kung'atuka Mapema.

Sio maneno yangu.Nimeyacopy kutoka kwa mdau wa twitter.
Au anapokea mwanaume anakwambia "sorry mwenye simu yuko kuoga"
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Asee,ndo mana minabetigi hata manzi 3 au 4 kwa kuogopa hayooo babake,
natandaza mikeka yangu siku 2 kabla mechi,
 
Back
Top Bottom