Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
Naona kuna dalili ya Ali kiba kubadilika.Kwa sasa kaamua kuachia ngoma back to back,iwe ni ngoma zake au za kushirikishwa kitu ambacho hapo kabla kilikuwa kigumu.
Safari hii kaachia wimbo alioimba na Bella.Audio na video vyote vimekamilika.
Yetu macho.
Mkwaju baada ya Mkwaju - another one kutoka kwangu Na my brother Christian Bella - #Chaku
Sent from my TA-1024 using Tapatalk