Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
Hivi karibuni, makampuni makubwa, Facebook, Google na mengine kama sikosei yalishtakiwa kwa ku monopolize masoko.Yaani, kuwa na Apps nyingi zaidi ili kuweza kuliteka soko wao tu peke yao kwenye Android na iPhone na mifumo mingine endeshi.Lengo la mashtaka,ni kuwataka Apps zao wazitambulishe kuwa ni zao ili mtu ajue.Mfano, Facebook ina miliki WhatsApp, Instagram,Messenger,nk.
Google ndio usiseme.Wana Apps nyingi sana kwenye Android yao.Kitendo cha kuzitambulisha hizo Apps zao,inakuwa rahisi mtu kujua kuwa mmiliki ni nani,na hatimaye kufikia maamuzi ama azipakue na kuzitumia au aachane nazo na hatimaye kuzitafutia mbadala.
Facebook,wameanza kuzitambulisha Apps zao rasmi.Mfano,ukifungua WhatsApp,kitu cha kwanza kabisa kukiona mara tu ufunguapo ni neno la kijani pale chini ambalo ni “From Facebook”.Instagram pia nayo inakuandikia vivyo hivyo.
Natumai pia nao Google watafanya hivyo.Microsoft naona wao wanajipambanua mapema kabisa pale unapotaka kupakua Apps zao.Mfano, Microsoft word, Excel,power point,nk.
Kama nimekosea,ni vyema pia mkanisaidia kufafanua vizuri na kuongezea madini mengine.Nitafurahi sana,kwani ni sehemu ya kujifunza.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk