Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,680
- 3,344
Hatimaye Huawei waanza kuitumia Os yao kwenye Smart Tv zao zilizozinduliwa rasmi huko Berlin Germany.
Kuna uwezekano pia wa simu zao tarajiwa ambazo ni flagship kama Mate 30,Mate X na zingine zitakazozinduliwa mwezi ujao October,kuwa powered by Harmony Os yao.
Google rasmi imeifahamisha Huawei kuwa simu zake tarajiwa hazitakuwa pre installed na Google Apps kama Google maps, Gmail na zingine.
Pamoja na hayo yote kutoka Google, Huawei wamesema kuwa simu zao zitazinduliwa kama kawaida.Pia wameorodhesha simu zao zitakazopata Android Q,yaani Android 10,ambazo zilishazinduliwa.
Yetu macho na masikio,kwa huyo mbabe aliyeongoza kwa mauzo mwaka jana robo ya tatu,yaani mwishoni mwa mwaka barani Ulaya.